Wanaija hawawezi penda demu hivi hivi...Hahahaaaaa Mungu amsaidie tu isijekuwa mpopo yupo after something maana Jide hanaga bahati ya wanaume kuanzia Ruge hadi Gadna heheeeeee nimeanza umbea sasa.
Fanya kumuunga mkono Makonda hivi vipaji visipoteeHahahaaaaa umejuaje?Ndio maana niliporudi nimeanza na kumpa heshima yake.
Ray C ni moto,hakuna kama yeye tena nchi hii.
Hawa wengine walikuwa wanatuumiza masikio.
Mmoja?kuna mkwaju wake m1 huo unaitwa KWIKWI ni shiidaaa
HahaaNaam,ni kama hii cover nimeisikiliza wiki nzima.
Nikaona inaqualify kuletwa kwa ma GT's [emoji4].
Kuna watu wanavitafuta vipaji na wengine wanatafutwa na vipaji sasa Rubby yupo hilo kundi la piliruby hata akilia nyimbo kali
Rubby ana sauti nzuri sanaHii kazi irudiwe na kiboko yao Rubby..... Ikirudiwa na Rubby ndio utajua kuwa hawa mbulumundu wawili hawajui muziki.....
Ila kweli jamani Wanaija matapeli sana.Wanaija hawawezi penda demu hivi hivi...
Yaani hapo kifupi VIUNGO kafata pesa nothing else...
Na anamchuna kweli, manake hizo trip ni hakunaga mara kwa wakwe Abuja, Mara Canada vacational we acha tuu jamaa ana bahati sana!
Nitamuunga mkono Makonda pale atakapokuwa na approach nzuri ktk issue ya madawa ya kulevya na sio vinginevyo.Fanya kumuunga mkono Makonda hivi vipaji visipotee
Hayo ni maoni/maono yako,kama ipoipo tu.Unajua mi navyomuona ray c ni kama q chillah. Ukiwekeza Hela yako hairudi ng'o. Hawana biashara hawa watu, Walishapotea over. Na ray c alikuwa mkali kuliko jide na niliwahi waambia watu ishu hiyo 2004. Nchi yetu haina kiwanda cha muziki hivyo wasanii wa zamani hawana soko tena, hasa Wale waliotopeA kwenye MajangA makubwa kama unga.
Ilikuwa lazima niwekwe mkuu,40 zangu zilifika and somebody is happy outa there [emoji23] [emoji23] [emoji23]me naomba kujua sababu ya ww kuwekwa mahabusu.
haya poa msalimie the boldIlikuwa lazima niwekwe mkuu,40 zangu zilifika and somebody is happy outa there [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba nisiseme zaidi,ukitaka kujua sababu watafute JamiiForums watakupa sababu.
Na alaniwe Mwisho Mwampamba aliyemfundisha kunusa unga.Arudi tu, ila mimi kwangu nadhani toka abadili rangi ndo ilikuwa mwisho wangu na yeye, sioni radha ya kumwangalia kabisa, namiss sana lile jicho la kwenye Uko Wapi!
She will never be the same.
Nitamuunga mkono Makonda pale atakapokuwa na approach nzuri ktk issue ya madawa ya kulevya na sio vinginevyo.
Kwahiyo kuwakamata wale vijana kumesaidia nini?
Adeal kwanza na waingizaji na sio walaji
Period
Kutajwa kwa Mbowe kumepelekea ngonjera kama hizi kutungwa!!Nitamuunga mkono Makonda pale atakapokuwa na approach nzuri ktk issue ya madawa ya kulevya na sio vinginevyo.
Kwahiyo kuwakamata wale vijana kumesaidia nini?
Adeal kwanza na waingizaji na sio walaji
Period