Upepo cover; Shkamoo Ray C

Hizo picha ndio jinsi Ray C alivyo siku Hizi au ni picha zake za zamani?!
 
Bado sana kumfananisha Ruby na Rachel jamani,unamvunjia heshima Ray C mkuu.

Yeap, hii cover ni motrooooo.


Hapana namaanisha kama Ray C akiacha muziki , huyo Ruby ndo atamrithi anajua sana pia Ruby
 
Sijakuelewa mkuu.
 
Hapana namaanisha kama Ray C akiacha muziki , huyo Ruby ndo atamrithi anajua sana pia Ruby
Oooooh nimekupata sasa.
Ruby nae sio mbaya,anajua kwa kiasi chake.
 
Sijakuelewa mkuu.
Mkuu ni hivi, japo nami namtakia mema Ray C lakini ukweli ni kwamba atakuwa addict miaka yake yote kwa sababu watu wengi hawaelewi addiction ya madawa ya kulevya. Watu wanadhani 'amepona', kumbe relapse ni jambo la kawaida na ndio maana recovering addicts huwa wanahesabu siku(miezi, miaka) ngapi hajatumia. Kibaya zaidi ni presha ya watu wanaodhani amepona hivyo wanaanza kuwa na matumaini makubwa na kazi zake.

Maoni yangu ni kwamba hawezi kurudi kwenye 'peak' yake ya zamani. Pole lakini kama maoni yangu yatakuumiza ewe shabiki yake kindakindaki
 
Sina uhakika wa 100%, lakini wadau walisema kuwa alifundishwa na mwisho.
Nakumbuka aliwahi kusema Lord Eyez siye aliyemtumbukiza kwenye madawa ya kulevya...sasa naanza kuamini.
 

Asante mkuu,lazima nikiri kwamba naumia,kweli...naumia sana.
Lakini sikati tamaa,namuombea naamini Mungu atamsimamia na atarudi ktk peak.
Amen [emoji120]
 
Huyu dada natamani angekuwa demu wangu ili awe ananiimbia wakati namgegeda
 
Huyu dada natamani angekuwa demu wangu ili awe ananiimbia wakati namgegeda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah nimecheka sana mkuu.
 
Nifah usiniloweke na kuni marinate kwa kusubiri matamu kutoka kwa Rayc!wengine bado tuna maumivu kwa huyu bint na tulijifanya kumsahau kwa kuwashabikia watoto kina linah mwasiti na hiki hivi vya juzizjuzi akina Diana Ruby lakini ukweli utabaki palepale kwa dadaz bongo fleva Rayc ni habari nyingine !
My wife is mad as hell kwa yanayomtokea rayc actually nilikuwa fan wake kupitia ushawishi wa wife every single day anaghani mashairi ya huyu bibie au kiplay her music!
Last time we met her at busara festival may be three or 4 yrs ago we were real sad ! I always try to shut her recently image and pretend it is 7 yrs ago!
We love tht dada and let her know that am ready to support her in any way possible !
This post of your real raise by expectation positively towards her!
Let her come back let her shine ago inshaallah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…