MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
The bold aaaaaaaaaah Nifah bhaaana.......................!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado sana kumfananisha Ruby na Rachel jamani,unamvunjia heshima Ray C mkuu.
Yeap, hii cover ni motrooooo.
Na alaniwe Mwisho Mwampamba aliyemfundisha kunusa unga.
Sijakuelewa mkuu.Tuende na mifano jamani! Ni drug addict gani aliwahi kurudi kwenye game baada ya kuzamishwa na madawa? Ngada ni noma sana, watu wanadhani ni malaria ambayo ukinywa mseto unapona. Fighting addiction is an ongoing struggle, you can only be sober for sometime, not permanently.
Sina uhakika wa 100%, lakini wadau walisema kuwa alifundishwa na mwisho.Hivi kumbe ni Mwisho na sio Lord Eyez?
Duuuuuuh!
Mkuu ni hivi, japo nami namtakia mema Ray C lakini ukweli ni kwamba atakuwa addict miaka yake yote kwa sababu watu wengi hawaelewi addiction ya madawa ya kulevya. Watu wanadhani 'amepona', kumbe relapse ni jambo la kawaida na ndio maana recovering addicts huwa wanahesabu siku(miezi, miaka) ngapi hajatumia. Kibaya zaidi ni presha ya watu wanaodhani amepona hivyo wanaanza kuwa na matumaini makubwa na kazi zake.Sijakuelewa mkuu.
Mkuu ni hivi, japo nami namtakia mema Ray C lakini ukweli ni kwamba atakuwa addict miaka yake yote kwa sababu watu wengi hawaelewi addiction ya madawa ya kulevya. Watu wanadhani 'amepona', kumbe relapse ni jambo la kawaida na ndio maana recovering addicts huwa wanahesabu siku(miezi, miaka) ngapi hajatumia. Kibaya zaidi ni presha ya watu wanaodhani amepona hivyo wanaanza kuwa na matumaini makubwa na kazi zake.
Maoni yangu ni kwamba hawezi kurudi kwenye 'peak' yake ya zamani. Pole lakini kama maoni yangu yatakuumiza ewe shabiki yake kindakindaki