Asante mkuu, sasa hivi manyunyu yameanza.Poleni
Huku kibamba hali hiyo ilikuja halafu imetuliaWana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna Upepo mkali sana unavuma, labda Pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo ,viti vya plastiki!
Upepo ni mkali
Usiku huu?
Usijali ni upepo wa kisulisuli tu huo manabii tushaucheki, msio na ndoa mjipange.Wana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna Upepo mkali sana unavuma, labda Pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo ,viti vya plastiki!
Upepo ni mkali
Wanaume wa Dar waoga sana hata upepo unaleta Uzi, au ndo gia ya kwenda mchepukoni ngoja tuwasubirie TMAWana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna Upepo mkali sana unavuma, labda Pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo ,viti vya plastiki!
Upepo ni mkali
Bado mnakunywa mpaka muda huu ?Wana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna Upepo mkali sana unavuma, labda Pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo ,viti vya plastiki!
Upepo ni mkali
Huku Ikwiriri kumepiga radi mfululizo za kutisha, hivi Sasa mvua inanyesha umeme umekatika.Wana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna Upepo mkali sana unavuma, labda Pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo ,viti vya plastiki!
Upepo ni mkali
Wanaume wa Dar waoga sana hata upepo unaleta Uzi, au ndo gia ya kwenda mchepukoni ngoja tuwasubirie TMA
Sorry mkuu hivi hili neno "dhoruba" linatumika hata nchi kavu ?Wana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna Upepo mkali sana unavuma, labda Pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo ,viti vya plastiki!
Upepo ni mkali