ZINDAGI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 1,118
- 1,437
Kaa nje unaweza kuwapata wale waatakaoletwa na Kisulisuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna upepo mkali sana unavuma, labda pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo, viti vya plastiki!
Upepo ni mkali.
Sent using Jamii Forums mobile app