Wana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna upepo mkali sana unavuma, labda pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo, viti vya plastiki!
Upepo ni mkali.
kula nnPoleni sana,mvua za masika ndio zinakaribia kuanza,kwahiyo ondoa hofu,na kama uko mabondeni kaa mkao wa kula... Kula nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkao wa kuliwa.Poleni sana,mvua za masika ndio zinakaribia kuanza,kwahiyo ondoa hofu,na kama uko mabondeni kaa mkao wa kula...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wa Dar ndio waoga kuliko wote duniani,Wana maaana yao mkuu si unavozani wewe tulia kijana acha papara kuna usemi wetu unasema laaa tapapara kijana angalia dar ndo inawakilisha tz nzima we fanya kilimo huko leta mjini wanaume wale
Sent using Jamii Forums mobile app
KLMYWanaume wa Dar waoga sana hata upepo unaleta Uzi, au ndo gia ya kwenda mchepukoni ngoja tuwasubirie TMA
Mkuu ule upepo kama haujaja na mgeni kutoka China sijui ( covid19 ) huenda akawa amewasili Jana usiku. Tuchukue tahadhari tu maana mie umenivunjia glass iliyokua mezan imepigwa na panzia.Wana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna upepo mkali sana unavuma, labda pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo, viti vya plastiki!
Upepo ni mkali.
Una utani na polepole?Ni kweli aisee hata mtu kama ana afya mgogoro unaweza kumuangusha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wa Dar waoga sana hata upepo unaleta Uzi, au ndo gia ya kwenda mchepukoni ngoja tuwasubirie TMA
Acha tu mkuu Jana usiku bunju upepo ulikuwa mkali Sana Leo nimetoka nje baadh ya nyumba za watu mabati yameezuliwa na upepo na mbao kuvunjwaWana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna upepo mkali sana unavuma, labda pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo, viti vya plastiki!
Upepo ni mkali.
Poleni sana mkuu!Acha tu mkuu Jana usiku bunju upepo ulikuwa mkali Sana Leo nimetoka nje baadh ya nyumba za watu mabati yameezuliwa na upepo na mbao kuvunjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Waulize TMA ndio wenye 'mamlaka' na huo upepo.Wana bodi usiku huu huku maeneo ya Bunju kuna upepo mkali sana unavuma, labda pengine utakuja na mvua unavuma sana kiasi cha kuhamisha hadi vitu kama vikombe vya plastiki, vyombo vya udongo, viti vya plastiki!
Upepo ni mkali.
mkuu ushapata mask kujikinga na corona kama bado chukua hiiπ·π·π·π·π·π·π·π·Shikamoo JF
Jr[emoji769]
mkuu ushapata mask kujikinga na corona kama bado chukua hiiπ·π·π·π·π·π·π·π·Shikamoo JF
Jr[emoji769]