Upepo mkali Tanga Mjini

Upepo mkali Tanga Mjini

Jana via Utv,walisoma Hali ya hewa 50km per how ukanda wa bahari ya Hindi.
 
Huu upepo tayari umepiga robo tatu ya nchi. Nimekatisha katisha mikoa kadhaa tangu Jumatano wiki hii naona kuna upepo wa ajabu ajabu tokea magharibi kabisa mwa nchi hadi huku mashariki na kusini
 
Mi pia jamani ilikua ni balaa mpaka nkasema unyakuo umekuja nini? Hata Dar hali si shwari, nilitamani kutoroka kanisani leo[emoji1] hadi mikono inakufa ganzi
 
Back
Top Bottom