Upepo ni mkali sana, machawa kuitetea CCM imekuwa mission impossible

Upepo ni mkali sana, machawa kuitetea CCM imekuwa mission impossible

CCM ni kama jua ipo Jana Leo n kesho.
Ccm Ina mizizi mikubwa
IMG-20251118-WA0002.jpg
 
Idadi yenu humu ni ndogo sana. Mnahesabika. Pamoja na posho mnazopata, lakini mmezidiwa kwa mbali sana na watu wasiolipwa chochote humu. Msijali, ukombozi umekaribia. Hata ninyi mtakombolewa.
Muda wa kazi huu si muda wa kuzurula mitandaoni....Wana CCM wapo site kutafuta kura za 2030
 
Back
Top Bottom