Upepo ni mkali sana, machawa kuitetea CCM imekuwa mission impossible

Upepo ni mkali sana, machawa kuitetea CCM imekuwa mission impossible

Ukiwa chawa inahitaji uwe na IQ kubwa sana kwenye utaahira... We angalia mlolongo wa matamko yaliyokua yanatolewa then chawa wanakuja kuyawekea nakshi

Alianza Afande Muliro akasema "Zile video sio za ukweli ni AI za kutengenezwa ". Chawa wakakurupuka na kusema "Ni kweli zile ni AI Tanzania hakuna watu waliokufa wala kujeruhiwa. Zile ni AI za kutengenezwa na wahuni "

Akaja Samuya akasema "Walioandamana ni watu kutoka nje. Hakuna Mtanzania aliyeandamana ". Chawa wakakurupuka tena, "Ni kweli hakuna Mtanzania aliyeandamana. Ni wahuni kutoka nje"

Then tena Samuya akajakusema "Vijana Watanzania wenzetu waliandamana baada ya kulipwa fedha, hawajui walitendalo ila mimi nimewasamehe. Chawa wakaibuka tena "Ni kweli vijana wa Kitanzania walilipwa ili waandamane ila Mama amewasamehe"

In short ili uwe chawa sheria ya kwanza lazima uwe jinga takataka usiye na maana yoyote kwenye hii dunia.
Hawa watu ni zaidi ya nguruwe
 
Girishoni anapata shida sana kuitetea hii serikali
 
MImba yako ilitungwa kwenye vilabu vya pombe usku ndo maana huna akili
Sasa huyo si anafuu kuliko wewe uliyekula mavi ya mama yako alivyojinyea wakati anakuzaa akili yote mavi tupu
Screenshot_20251121_060835.jpg
 
Chukuwachakomapema HAWASAFISHIKI HATA UTUMIE DAWA GANI!
THEY ARE DONE, ITS A MATTER OF TIME, WATCH THIS SPACE MDAU...
 
Je huyu masanja mkandamizaji aliekua anasifia na kugalagala
 
Back
Top Bottom