Upepo ni mkali sana, machawa kuitetea CCM imekuwa mission impossible

Upepo ni mkali sana, machawa kuitetea CCM imekuwa mission impossible

Idadi yenu humu ni ndogo sana. Mnahesabika. Pamoja na posho mnazopata, lakini mmezidiwa kwa mbali sana na watu wasiolipwa chochote humu. Msijali, ukombozi umekaribia. Hata ninyi mtakombolewa.
CCM 💚
 
Nawaonea huruma sana

Yaan ni ngumu sana kuwatetea hawa watu, roho na nafsi zinawasuta kila kukicha. Tumefika pazuri sana.
Yanakula pesa za maccm sana kupitia Bakwata ya ccm mashehe majini ubwabwa lakini yakiingia jukwaani yanapigwa 3-0
 
Idadi yenu humu ni ndogo sana. Mnahesabika. Pamoja na posho mnazopata, lakini mmezidiwa kwa mbali sana na watu wasiolipwa chochote humu. Msijali, ukombozi umekaribia. Hata ninyi mtakombolewa.
Watetezi wa ccm mitandaoni wengi yaani 99% ni wajinga wajinga IQ zao zipo chini sana, ndiyo maana utetezi wao haujawahi kufauli hata siku moja
 
Mdanganye huyo mwanao kijusi aliepo tumboni mwako ingawa najua baada ya kumzaa atakukatalia kwamba uliyekua unayasema hayakua kweli....

December 9 to remember...
Wewe mwenyewe ni CCM
 
Back
Top Bottom