Upepo ni mkali sana, machawa kuitetea CCM imekuwa mission impossible

Idadi yenu humu ni ndogo sana. Mnahesabika. Pamoja na posho mnazopata, lakini mmezidiwa kwa mbali sana na watu wasiolipwa chochote humu. Msijali, ukombozi umekaribia. Hata ninyi mtakombolewa.
Muda wa kazi huu si muda wa kuzurula mitandaoni....Wana CCM wapo site kutafuta kura za 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…