Sir Carter
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 631
- 1,409
Nzuri hii, hapo kwenye kunywa bia na route za washroom tatizo[emoji28]View attachment 2198413
View attachment 2198414
View attachment 2198415
Jioni unakaa na birika yako ya chai ukipunga upepo. Tatizo ni safari za chooni kama unakunywa bia.
🤣🤣🤣🤣 Eti unakaa hapo kama nn? Kenge? 😂😂Hapo kwenye hio balcony unakaa kama kenge manyunyu ya mvua yakianza tu nakimbia ndani
Au Dish za Ving'amuziYes kumbe unawezekana kabisa chakushangaza tunawekaga simtank la maji
kama hujui sasa jua,siku zingine usijitie kujuaHamna mbadala wa balcony ya ghorofa. Balcony ya ghorofani unaweza kukaa hata mvua ikinyesha na pia inakuwa say sebuleni au chumbani kabisa. Unakaa unakunywa keivanga unaingia chumbani unalala.
Tutafuteni hela ya kujenga maghorofa yana mvuto wake wa kipekee
Ni uoga ndio unawafanya watu wengi wasijenge ghorofa all you have to do ni jenga msingi wa ghorofa alafu endelea na floor ya kwanza then unaweza kuamia na kuishi ukipata pesa unaanza second floor badala ya kutumia hiyo ela kununua kiwanja kingine ujenge nyumba ya pili tumia kujenga second floor hapo hapo kwakoView attachment 2198413
View attachment 2198414
View attachment 2198415
Jioni unakaa na birika yako ya chai ukipunga upepo.
Tatizo ni safari za chooni kama unakunywa bia.
Hata me nilishaliona hilo. Kama una hela za mawazo, hakuna sababu ya kung'ang'ania kununua viwanja vingi.Ni uoga ndio unawafanya watu wengi wasijenge ghorofa all you have to do ni jenga msingi wa ghorofa alafu endelea na floor ya kwanza then unaweza kuamia na kuishi ukipata pesa unaanza second floor badala ya kutumia hiyo ela kununua kiwanja kingine ujenge nyumba ya pili tumia kujenga second floor hapo hapo kwako