Upepo wa balcony unashawishi sana kujenga ghorofa, kumbe unaweza kuupata pasi ghorofa

Hamna mbadala wa balcony ya ghorofa. Balcony ya ghorofani unaweza kukaa hata mvua ikinyesha na pia inakuwa say sebuleni au chumbani kabisa. Unakaa unakunywa keivanga unaingia chumbani unalala.

Tutafuteni hela ya kujenga maghorofa yana mvuto wake wa kipekee
 
kama hujui sasa jua,siku zingine usijitie kujua
 
View attachment 2198413
View attachment 2198414
View attachment 2198415
Jioni unakaa na birika yako ya chai ukipunga upepo.

Tatizo ni safari za chooni kama unakunywa bia.
Ni uoga ndio unawafanya watu wengi wasijenge ghorofa all you have to do ni jenga msingi wa ghorofa alafu endelea na floor ya kwanza then unaweza kuamia na kuishi ukipata pesa unaanza second floor badala ya kutumia hiyo ela kununua kiwanja kingine ujenge nyumba ya pili tumia kujenga second floor hapo hapo kwako
 
Hata me nilishaliona hilo. Kama una hela za mawazo, hakuna sababu ya kung'ang'ania kununua viwanja vingi.

Unanunua kiwanja chako kimoja, unajenga ground, unatulia utaendeleza baadae, huku ukiendeleza kufanya shughuli zingine za uzalishaji mali
 
Back
Top Bottom