Upewe billion moja au free ticket ya kuingia mbinguni

Upewe billion moja au free ticket ya kuingia mbinguni

Mbinguni ni mateso kwahiyo moja kwa moja nachukua hela.

Kuimba milele lazima iboe.
Peponi kuna raha wewe! Kule kuna mito kabisa ya pombe inatiririka, yaani ukisikia kiu unachukua kisado chako kindoo unakwenda kuchota konyagi au bia kulingana na kipaumbele chako. Baada ya hapo kuna wanawake wazuri wazuri wana macho kama mbuni wanakusubiri uwatafune.

Mi naenda peponi hata kwa kulipia.
 
Raha tu bila shida haina maana yeyote.

Kwanza kulewa tu bila mwisho, na kufanya ngono bila mwisho maana yake wewe sio mtu tena.

Vikomo vya mwili wako vimeondolewa, utaweza kufanya hayo mambo bila kuchoka na raha yake inapotea.

Kiufupi mbinguni mnageuzwa vikalagosi.
 
Usitumie nguvu sana pasi kufikiri Ilo swali kauliza prof WA havard university school of medicine kwa wanafunz wake sema yéyé kaweka One billion dollars
sawa na yeye aludishe hela ya ada kwa wazaz wake labda na ww hujanielewa
 
Peponi kuna raha wewe! Kule kuna mito kabisa ya pombe inatiririka, yaani ukisikia kiu unachukua kisado chako kindoo unakwenda kuchota konyagi au bia kulingana na kipaumbele chako. Baada ya hapo kuna wanawake wazuri wazuri wana macho kama mbuni wanakusubiri uwatafune.

Mi naenda peponi hata kwa kulipia.
Unazungumzia pepo ipo sheikh maana zipo pepo za aina mbalimbali. Kwa Wakorintho huku hakuna hayo mambo. Huku ni kuabudu na kusifu 24/7 milele na milele.

Ila kule kwingine ndo kumechangamka na kuvutia kweli kweli 😁😁😁🖐

Screenshot_20240107_200959_WhatsApp.jpg
 
Kwa nini nihangaikie nisicho na uhakika nacho? Pesa kwanza mengine yatajikokotoa yenyewe.
 
hahahahahahahaha
mna Siri nyie haya kwa mikoani ofisi zenu zipo wapi?
 
Back
Top Bottom