Upi ni msimamo wa Wasabato kuhusu sikukuu za Krisimasi na Pasaka?

Upi ni msimamo wa Wasabato kuhusu sikukuu za Krisimasi na Pasaka?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
e3138ab67b8b20d146b6781b380a38ac.jpg

Misimamo wa Wasabato imekuwa ya utofauti kwa kiasi kikubwa kulingana na Wakristo wengine.

Vp kuhusu hizi siku kuu mbili wanaendana nazo? Na kama haziko katika mifumo yao, je kwao tarehe sahihi za Yesu kuzaliwa na Yeu kufufuka?
 
Kama sabato ni pumziko maanake wasabato ni wapumzikaji, Sasa unataka msimamo gan kwa wapumzikaji
 
Bibilia ipi ile ya kabla ya mwaka 325 AD au hii ya sasa?
Nitapoteza muda wangu kubishana na wewe, nikileta historical evidence zangu mfano "Dead Sea Scrolls" na wewe ukianza kuniletea aya za mudy alizokwambia biblia imekuwa corrupted, hatuwez kufika conclusion.
 
Mtu anabishana aje na iman ambayo yeye hayumo ndani yake
 
Back
Top Bottom