Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Yaani umetoa maelezo mafupi yenye vitu adimu na yenye kueleweka. Heko iwe juu yako.
 
Ila wazungu ni makanjanja sana. Inasemwa ukitaka kuwavuruga watu wasipate kujielewa, basi vuruga historia yao. Baada ya sarafu ya utawala kuangukia mikononi mwao, wazungu wamebadilisha yote. Wamefika pahala wakaandika kwenye maandishi yao, kabla ya watu wao kupata maarifa kipindi hicho walimwengu walikuwa hawajielewi. Ilikuwa ni dark ages, kwa ghafla baada ya wao kupata maarifa wao ndiyo wakautoa ulimwengu kwenye dark ages wakauleta mpaka hapa ulipofikia. Hawataki kuelezea waanzilishi wa hayo maarifa ni nani.
 
Ila Nimrod alikuwa black mkuu sababu ndio mtoto wa CUSH founder of kingdom of KUSH/ ethiopia..... So tunarudi kulekule ikimaanisha ancient sumerians were semitic-speaking negroids akiwemo Nimrod ama Enmekar kwa kisumeria
Big problems hapa ni colour,nimrod hakuwa black real,kuna wakush was gold colour,ambazo ni adim kuzikuta kwa sasa na ndizo zilizokuwako katk miili ya watu wa kale like nimrod....ila hakuwa mweusi tii.
 
Unaweza ukawa sahihi hakuwa mweusi as in mweusi kma mpoki ila nlichotaka ufaham ni kwamba alikuwa NEGROID race sio race za wazungu au weupe wengine kama CAUCASOIDS au SEMITES!!

Unajua hta kikwete ni mweupe ila ni NEGROID so tusichanganye rangi ya ngozi na RACE.... Nimrod angeweza kuwa mweupe pee kama kina nape nnauye au mnyika ila haibadilishi ukweli kuwa ni NEGROID so hilo ndio nilitaka niliweke sawa ili usione kma tunajikweza but ndio uhalisia
 
Nakupata mkuu...ila tusijikweze sana hatuna jipya,kwa maana pia kuna wanaoishi future time tulioko past tunajisumbua sana...
 
Big problems hapa ni colour,nimrod hakuwa black real,kuna wakush was gold colour,ambazo ni adim kuzikuta kwa sasa na ndizo zilizokuwako katk miili ya watu wa kale like nimrod....ila hakuwa mweusi tii.
what is black????
the mother gene with variation of all genetically codes, the source...tusemeje mtuelewe????
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…