zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
- Thread starter
- #361
Same blacks waliokuja kumigrate ethiopia so bado yuko on pointSumerian ndo wa kwanza kuandika mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Same blacks waliokuja kumigrate ethiopia so bado yuko on pointSumerian ndo wa kwanza kuandika mkuu
Hapana muafrika anayejikweza ila huo ndio ukweli hta misri wanafaham wao ni wababa wa civilization na wamisri wa kale walikuwa purely blacks wakitokea kwa mizraim mwana wa HAM na hta historical paintings za misri zinaconfrim kuwa walikuwa watu weusi kabisa ila hao waarab wamekuja baadae sana so binti hemed hajajikweza ila anaongea uhalisia
Hata ethiopia na misri kwa wakristo wao ndio wa kwanza kuwa kuwa na makanisa hasa egypt kanisa la coptic limekuwepo miaka na miaka hta kabla wazungu hawajawa na makanisa na hta ethiopia ndio wana biblia ya kwanza kabisa duniani ya kanisa la Tawahedo-orthdox miaka mingi hta kabla wazungu hawajaja na biblia ya kilatin.... Hivyo unaweza ona role ya watu weusi kwenye civilization
Na hata ukisema turudi nyuma sana kwa kina gilgamesh/Nimrod ambao ndio waasisi wa sumeria kwa ushahidi wa kimaandiko na kihistoria ni watu weusi walioongea semitic language...... ndio utaona walibuni maandishi,vifaa vingi vya ujenzi,mashine ndogondogo,silaha n.k nyingi sana na kihistoria ni uzao wa CUSH aliyekuwa muasisi wa ufalme wa kush uliotawala kuanzia uarabuni mpaka sudan hadi somalia mpka afrika mashariki
Hyo ndio fact mkuu

Tuletee viungo vya ushahidibibilia haijaiga popote huko ugiriki.
sodoma na gomora ni vitu ambavyo vinaushahidi wa kiachiolojia. Koleo tu middle east linaweza kuthibitisha mengi tu ya kwenye bibilia.
labda quran wahusika wanaweza kufafanua.
cc Fatima binti hemedi
tuletee vyanzo vya ushahidi wakoView attachment 784399View attachment 784400
paleontology na archaeology
katika eneo ambalo inakadiliwa ilikuwepo sodoma na gomora huko mashariki ya kati.
machimbo yanaonyesha moto tena wenye sifa ya kwenye maandishi ya bibilia uliharibu hapo.
sina muda wa kutosha kuelezo hilo, ila siku nikipata muda ntakuongezea nyama mkuu.
Big problems hapa ni colour,nimrod hakuwa black real,kuna wakush was gold colour,ambazo ni adim kuzikuta kwa sasa na ndizo zilizokuwako katk miili ya watu wa kale like nimrod....ila hakuwa mweusi tii.Ila Nimrod alikuwa black mkuu sababu ndio mtoto wa CUSH founder of kingdom of KUSH/ ethiopia..... So tunarudi kulekule ikimaanisha ancient sumerians were semitic-speaking negroids akiwemo Nimrod ama Enmekar kwa kisumeria
Unaweza ukawa sahihi hakuwa mweusi as in mweusi kma mpoki ila nlichotaka ufaham ni kwamba alikuwa NEGROID race sio race za wazungu au weupe wengine kama CAUCASOIDS au SEMITES!!Big problems hapa ni colour,nimrod hakuwa black real,kuna wakush was gold colour,ambazo ni adim kuzikuta kwa sasa na ndizo zilizokuwako katk miili ya watu wa kale like nimrod....ila hakuwa mweusi tii.
Nakupata mkuu...ila tusijikweze sana hatuna jipya,kwa maana pia kuna wanaoishi future time tulioko past tunajisumbua sana...Unaweza ukawa sahihi hakuwa mweusi as in mweusi kma mpoki ila nlichotaka ufaham ni kwamba alikuwa NEGROID race sio race za wazungu au weupe wengine kama CAUCASOIDS au SEMITES!!
Unajua hta kikwete ni mweupe ila ni NEGROID so tusichanganye rangi ya ngozi na RACE.... Nimrod angeweza kuwa mweupe pee kama kina nape nnauye au mnyika ila haibadilishi ukweli kuwa ni NEGROID so hilo ndio nilitaka niliweke sawa ili usione kma tunajikweza but ndio uhalisia
what is black????Big problems hapa ni colour,nimrod hakuwa black real,kuna wakush was gold colour,ambazo ni adim kuzikuta kwa sasa na ndizo zilizokuwako katk miili ya watu wa kale like nimrod....ila hakuwa mweusi tii.
AsanteUnajua hta kikwete ni mweupe ila ni NEGROID so tusichanganye rangi ya ngozi na RACE.... Nimrod angeweza kuwa mweupe pee kama kina nape nnauye au mnyika ila haibadilishi ukweli kuwa ni NEGROID so hilo ndio nilitaka niliweke sawa ili usione kma tunajikweza but ndio uhalisia