Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

Nakumbuka nilipokuwa Mwenge Sec (Singida) mwaka 1972 nilipendelea sana kusoma vitabu vya Erich von Däniken. Huyu mwandishi ameandika vitabu kadhaa vinavyohusu Atlantis. Kitabu nilichokirudia rudia na hadi sasa nakikumbuka ni Chariots of the Gods? na vitabu vingine. Ni muda mrefu sana umepita na hiyo ilikuwa shauku ya ujanani ingawa kwa sasa siamini tena haya masuala. Tafuta vitabu vya huyu Erich von Däniken ameeleza sana kuhusu "extraterrestials" ambao waliitembelea dunia zama za kale. Na nadhani kwa zama hizi za utandawazi inawezekana kuna video zake youtube pia; kwa sababu ameshatengeneza DVDs na vipindi (documentaries) kadhaa vya television.
Shikamoo mzee magonjwa
 
Angalia huyu mnajimu. Kuna kabila la watatoga au Barbaig au mangati huwa waganga wao wanafanya kama huyu mnajimu

Baada ya hapo angalia hii ya national Geographic
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi murua kuhusu hao Annunaki na Aruba ni jamii kama ya Goliath yalikuwa na yenyewe majitu makubwa yenye nguvu enzi hizo naona labda mfano wako utakuwa umetosheleza kueleza kuhusu hawa Annunaki pia

Ahsante
Genesis 6 : 4

Inatueleza, Nao Wanefili walikuwako duniani wakati ule na Baada yao Wana wa Mungu waliwaingilia wanadamu na kuzaa watu Hodari sana, watu wenye sifa.

Unaweza kutufafanulia nini hapo?
Bara la Atlantis kipindi cha Nuhu kurudi nyuma lilikua likitumiwa kama Base/makazi ya Viumbe waliopatikana baada ya Fallen angels kuingiliana kingono na binaadam (WANEFILI)
Baadae lilipotea hilo bara na kubaki barafu tu lakini mpango uliopo sasa hv under secret societies (Iluminat) ni kulirudisha tena na kurudisha Nephilism bloodline. Soon we are reached NWO
 
Ngoja nijiandae na missa nikirudi (Tuna sherehe ya askofu) nitqleta nondoz..
Asubuhi njema.
Genesis 6 : 4

Inatueleza, Nao Wanefili walikuwako duniani wakati ule na Baada yao Wana wa Mungu waliwaingilia wanadamu na kuzaa watu Hodari sana, watu wenye sifa.

Unaweza kutufafanulia nini hapo?
 
Genesis 6 : 4

Inatueleza, Nao Wanefili walikuwako duniani wakati ule na Baada yao Wana wa Mungu waliwaingilia wanadamu na kuzaa watu Hodari sana, watu wenye sifa.

Unaweza kutufafanulia nini hapo?
Mkuu nilichosikia ingawa kwenye biblia hakijaandikwa ni kwamba kuna binti kwenye ukoo wa Cain aliitwa egyptus ndio aliolewa na Ham mwana wa Noah..... Hivyo wanadai kwakuwa kizazi cha Cain kilikuwa kina laana yaani maasi na dhambi yote yalifanywa na ukoo wake basi ile mbegu na roho ya shetani ilikuwa bado juu ya binti yule hivyo basi baada ya gharika ndio dhambi ikarudi kupitia familia ya Ham kwa mfano

Ham alimchungulia baba yake badala ya kumstiri

Tunaona Canaan akipewa laana na nuhu maana inasemekana naye alimchungulia ndio akamuita baba yake naye aje amchungulie Nuhu

Kingine tunaona Ham akizaa naye watoto ambao wote walileta uasi juu ya dunia kuanzia mnara wa babeli ulijengwa na nimrod yaani mjukuu wa Ham n.k

Kingine hata hao ''WANEFILI'' wa muda baada ya gharika yaani majitu makubwa yenye mwili kuanzia goliath.... Mfalme ogu wa bashani.... Jamii nzima ya waamaleki.... Gilgashites.... Annunaki na Aruba ambayo yaliishi canaan hadi siku wana wa israel wanawaona wakasema MBELE YAO SISI NI KAMA PANZI' ...... Walitokea wote ukoo wa HAM

Hivyo uelewa wangu baada ya kusoma vitabu tofauti vya historia vya kiyahudi na biblia naweza conclude kwamba wanefili walirudi kupitia HAM sababu alioa mtoto wa CAIN!!!

CC: Eiyer
 
atlantis inasemekana ni bara ambalo lilipotelea baharini mamilioni ya miaka iliyopita, iyo idea aliianzisha plato lakini wengi hawakumuelewa walimbeza na kumuona kama kachanganyikiwa,

lakini baadhi ya wanasayansi waliyafanyia kazi mawazo yake na kuanza kulitafuta bara ilo bila mafanikio hatimaye january ya mwaka 2017 mwanasayansi prof lewis ashwal wa witwatersrands university south afrika aligundua bara kubwa chini ya bahari ya hindi karibu na kisiwa cha mauritius aliloliita mauritia.

alipochukua vipande vya mawe kutoka bara ilo lililo chini ya bahari ya hindi aligundua yale mawe yenye madini ya zircon yana umri wa miaka bilioni tatu, then akachukua mawe katika kisiwa cha mauritius ambacho kimetokana na volkano akagundua yana umri wa miala milioni9 ilo bara lina umri mkubwa kuliko mauritius na ata bahari zote akahitimisha kwa kusema ilo bara lilitokea kipindi gondwana inasplit apart kuunda continents tulizonazo leo. so plato alikua sahihi kusema kulikua na bara na kingdom kubwa iliyopotelea baharini.
 
Ukisha anza kuzungumzia hii mambo ya Atlantis kwanza lazima tukubaliane tunaelezana kiconspiracy conspiracy na hapo tegemea majibu mengi kutokana na uelewa wetu kitofauti tofauti.

Nikijuacho...

Chanzo cha Atlantis ni viumbe ambao sio wa asili ya dunia hii(Aliens) wajulikanao kama serpent masters.Ambao walikuja duniani wakaanza kuishi chini ya ardhi.Baada ya mda wakaenda kuishi kwenye bara la atlantis. wakaumba binadamu ili wamfanye mtumwa huyu anajulikana kama son of serpent.Lakini wakasahau kitu kimoja wakampa yule binadamu uwezo sawa na wao.Hivyo huyu binadamu aliwakimbia akaenda kuishi bara la Lemuria ambalo pia lilikuja kuzama.

Baada ya son of serpent kuwakimbia Serpent masters, wakaamua kutengeneza binadamu asiye na uwezo kama wao wakamuweka kwenye bustani ya Edeni.Lakini bado son of serpent walimfata huko Atlantis wakamdanganya wakaondoka nae.Hapo ndo ikaibuka vita ya kwanza ya nuclear kati ya serpent masters na son of serpent.
 
Inavyosemakana Atlantis ilikuwa ni naval superpower

Hitler aliamini Aryans ni remnants wa Atlantians
 
Ukisha anza kuzungumzia hii mambo ya Atlantis kwanza lazima tukubaliane tunaelezana kiconspiracy conspiracy na hapo tegemea majibu mengi kutokana na uelewa wetu kitofauti tofauti.

Nikijuacho...

Chanzo cha Atlantis ni viumbe ambao sio wa asili ya dunia hii(Aliens) wajulikanao kama serpent masters.Ambao walikuja duniani wakaanza kuishi chini ya ardhi.Baada ya mda wakaenda kuishi kwenye bara la atlantis. wakaumba binadamu ili wamfanye mtumwa huyu anajulikana kama son of serpent.Lakini wakasahau kitu kimoja wakampa yule binadamu uwezo sawa na wao.Hivyo huyu binadamu aliwakimbia akaenda kuishi bara la Lemuria ambalo pia lilikuja kuzama.

Baada ya son of serpent kuwakimbia Serpent masters, wakaamua kutengeneza binadamu asiye na uwezo kama wao wakamuweka kwenye bustani ya Edeni.Lakini bado son of serpent walimfata huko Atlantis wakamdanganya wakaondoka nae.Hapo ndo ikaibuka vita ya kwanza ya nuclear kati ya serpent masters na son of serpent.
Dah haki ya Mungu walahi
 
Dah umewachungulia wapi hao malaika ukajua hawana jinsia ?
katika dini tumefundishwa haya mambo yote.tofauti kati ya malaika,majini na binadamu..malaika waliumbwa kwa Nuru..majini kwa moto..na binadamu kwa udongo...wakristo walifichwa hizi habari makusudi katika biblia.walitaka kuwaaminisha watu kuwa malaika ni watoto wa kike wa MUNGU.jambo ambalo siyo kweli.malaika hawana jinsia na hawali wala hawanywi kama majini na binadam..hata story za majini kuzaa na watu siyo kweli coz malaika hawajawahi kumuasi Mwenyezi MUNGU hata siku moja.
 
Back
Top Bottom