Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,796
- 2,367
Tumeni nondo na vitabu ikiwezekana wakuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini wakristo walifichwa hizi habari kwenye bibliakatika dini tumefundishwa haya mambo yote.tofauti kati ya malaika,majini na binadamu..malaika waliumbwa kwa Nuru..majini kwa moto..na binadamu kwa udongo...wakristo walifichwa hizi habari makusudi katika biblia.walitaka kuwaaminisha watu kuwa malaika ni watoto wa kike wa MUNGU.jambo ambalo siyo kweli.malaika hawana jinsia na hawali wala hawanywi kama majini na binadam..hata story za majini kuzaa na watu siyo kweli coz malaika hawajawahi kumuasi Mwenyezi MUNGU hata siku moja.
Pole sanakatika dini tumefundishwa haya mambo yote.tofauti kati ya malaika,majini na binadamu..malaika waliumbwa kwa Nuru..majini kwa moto..na binadamu kwa udongo...wakristo walifichwa hizi habari makusudi katika biblia.walitaka kuwaaminisha watu kuwa malaika ni watoto wa kike wa MUNGU.jambo ambalo siyo kweli.malaika hawana jinsia na hawali wala hawanywi kama majini na binadam..hata story za majini kuzaa na watu siyo kweli coz malaika hawajawahi kumuasi Mwenyezi MUNGU hata siku moja.
Asee wanaficha kweli kaka tunasonga tu ngoja tuendelee na visomo tutajua tu.Kwanini wakristo walifichwa hizi habari kwenye biblia
Mbona kwenye hiyo Biblia kuna maandiko yanasema kabisa hao malaika waasi walitembea na wanadamu ?katika dini tumefundishwa haya mambo yote.tofauti kati ya malaika,majini na binadamu..malaika waliumbwa kwa Nuru..majini kwa moto..na binadamu kwa udongo...wakristo walifichwa hizi habari makusudi katika biblia.walitaka kuwaaminisha watu kuwa malaika ni watoto wa kike wa MUNGU.jambo ambalo siyo kweli.malaika hawana jinsia na hawali wala hawanywi kama majini na binadam..hata story za majini kuzaa na watu siyo kweli coz malaika hawajawahi kumuasi Mwenyezi MUNGU hata siku moja.
me ntakujibu kwa mtizamo wangu. kwanza ukweli ni kuwa blacks ndio the best guys in this world but still tumefanywa kujiona duni mbele ya wazungu na waarabu na wahindi.why!.it coz shetani pia yuko katika ku make sure dunia haielewi ukweli.soo shetani nao kakomaa na wazungu kuwaletea maendeleo na kuwasaidia katika kuvumbua vitu ili waonekane the special ones.angalia hata katika Kumuasi MUNGU wazungu wametuzidi watu weusi.kule ushoga ni ruksa.huku serikali zetu huwa zinalinda kura zao koz wakiruhusu ushoga wataondolewa madarakani.ADAM katika kuumbwa kwake.alisimamishwa kama sanamu kwa mda mrefu tuu bila uhai.akawa yuabadilika rangi za ngozi yake.mpaka ilipofikia rangi nyeusi ndipo MWENYEZI MUNGU akampulizia uhai.hii inamaana kuwa Adamu alikua mtu mweusi.hii ni kwa mujibu wa uislamu.na ukifuatilia vizuri hata Suleimani,Ayubu,Samson na Yesu walikua watu weusi kwa ushahidi wa biblia.sa wazungu hawaezi taka sisi waafrica tujitambue ata siku moja...me naweza amini bara la atlantis lilikuepo koz chini ya bahari huwa kuna miji mingi imefunikwa na maji na inaonyesha waliishi watu wenye elimu kubwa koz kuna mikasri ya maana.ila suala la kuwa na viumbe waitwao watazamaji mi naamini ni tricks za freemasons kutuzubaisha binadamu ili ttuone kuwa stori za uwepo wa MUNGU muumbaji wa vyote pia ni hadithi ya kawaida wakati yatakiwa ifahamike kuwa MUUMBAJI ni mmoja na vyote alivyoumba anavihitajia vimuabudu.soo wazungu kupotezea huo ukweli wao huleta stori za dunia zingine na viumbe wa ulimwengu mwingne ili tuu kuwasahaulisha watu kuhusa MUUMBA WA MBINGU NA NCHI NA VYOTE VIIJAZAVYOKwanini wakristo walifichwa hizi habari kwenye biblia
pole hiyo vipi???Pole sana
Kwa kuwa gizani, yan hujui ukwelipole hiyo vipi???
Una imani iman ya kirasi? Rasta mnatumia kitabu gani kama muongozo wenu kujua ukwel?me ntakujibu kwa mtizamo wangu. kwanza ukweli ni kuwa blacks ndio the best guys in this world but still tumefanywa kujiona duni mbele ya wazungu na waarabu na wahindi.why!.it coz shetani pia yuko katika ku make sure dunia haielewi ukweli.soo shetani nao kakomaa na wazungu kuwaletea maendeleo na kuwasaidia katika kuvumbua vitu ili waonekane the special ones.angalia hata katika Kumuasi MUNGU wazungu wametuzidi watu weusi.kule ushoga ni ruksa.huku serikali zetu huwa zinalinda kura zao koz wakiruhusu ushoga wataondolewa madarakani.ADAM katika kuumbwa kwake.alisimamishwa kama sanamu kwa mda mrefu tuu bila uhai.akawa yuabadilika rangi za ngozi yake.mpaka ilipofikia rangi nyeusi ndipo MWENYEZI MUNGU akampulizia uhai.hii inamaana kuwa Adamu alikua mtu mweusi.hii ni kwa mujibu wa uislamu.na ukifuatilia vizuri hata Suleimani,Ayubu,Samson na Yesu walikua watu weusi kwa ushahidi wa biblia.sa wazungu hawaezi taka sisi waafrica tujitambue ata siku moja...me naweza amini bara la atlantis lilikuepo koz chini ya bahari huwa kuna miji mingi imefunikwa na maji na inaonyesha waliishi watu wenye elimu kubwa koz kuna mikasri ya maana.ila suala la kuwa na viumbe waitwao watazamaji mi naamini ni tricks za freemasons kutuzubaisha binadamu ili ttuone kuwa stori za uwepo wa MUNGU muumbaji wa vyote pia ni hadithi ya kawaida wakati yatakiwa ifahamike kuwa MUUMBAJI ni mmoja na vyote alivyoumba anavihitajia vimuabudu.soo wazungu kupotezea huo ukweli wao huleta stori za dunia zingine na viumbe wa ulimwengu mwingne ili tuu kuwasahaulisha watu kuhusa MUUMBA WA MBINGU NA NCHI NA VYOTE VIIJAZAVYO
shetani (laana ziwe juu yake)..ni jini.na aliishi hapa duniani kabla hajapaishwa mbinguni wakati uzao wa majini ulipofutwa duniani koz malaika walikuja kuwatawanya majini duniani.majini wengine walikimbilia baharini wengine mapori makubwa na wengine katika majabali makubwa.ndipo hapo shetani kipindi hicho alikua muabudu Mungu sana hivyo akanyakuliwa na kupelekwa mbinguni akiwa bado hajafa..kule aliishi na malaika japokuwa yeye alikua siyo malaika.ila aliposkia habari za kuumbwa Adamu.kiumbe wa mwisho wa kuitawala dunia hapo shetani alichukia na kuanza kusema kuwa hatamuheshimu huyu kiumbe mpya...huko ndiko ugomvi ulipoanzia katiyetuna shetani.fatilieni hizi stori jamani.ni tamu na zinaelimisha sana...natamani nikuandikie storiyote hadi pind wote wametupwa duniani...ila ni ndefu sana.plis fanya usake mtu akusimulie hasa ma sheikhMbona kwenye hiyo Biblia kuna maandiko yanasema kabisa hao malaika waasi walitembea na wanadamu ?
Dini moja inasema malaika walitembea na binadamu ,nyingine inasema malaika waliumbwa kwa nuru hawana jinsia
Shetani ni nani kama malaika hawajawahi kumuasi Mungu ?
Kazi kweli kweli
Hivi yuwapi huyu mtu long time sisee
...Samahani mkuu naomba kueleweshwa kidogo hivi Fallen Angel walipokutana kingono na Binadam Ndipo akazaliwa Nephilims!??au Nephilims walikuwepo kabla ya Fallen Angels.??ni hayo tu ntashukuru
Mungu katuficha vingi Sana vikivyoko Baharini akisema avionyeshe Sidhani kama tutastahimiliatlantis inasemekana ni bara ambalo lilipotelea baharini mamilioni ya miaka iliyopita, iyo idea aliianzisha plato lakini wengi hawakumuelewa walimbeza na kumuona kama kachanganyikiwa,
lakini baadhi ya wanasayansi waliyafanyia kazi mawazo yake na kuanza kulitafuta bara ilo bila mafanikio hatimaye january ya mwaka 2017 mwanasayansi prof lewis ashwal wa witwatersrands university south afrika aligundua bara kubwa chini ya bahari ya hindi karibu na kisiwa cha mauritius aliloliita mauritia.
alipochukua vipande vya mawe kutoka bara ilo lililo chini ya bahari ya hindi aligundua yale mawe yenye madini ya zircon yana umri wa miaka bilioni tatu, then akachukua mawe katika kisiwa cha mauritius ambacho kimetokana na volkano akagundua yana umri wa miala milioni9 ilo bara lina umri mkubwa kuliko mauritius na ata bahari zote akahitimisha kwa kusema ilo bara lilitokea kipindi gondwana inasplit apart kuunda continents tulizonazo leo. so plato alikua sahihi kusema kulikua na bara na kingdom kubwa iliyopotelea baharini.
nipe huo mwanga unaoujua ww mkuuKwa kuwa gizani, yan hujui ukweli
Katika kusoma bibilia mimi sijaona wapi kumeandikwa kua MALAIKA ni watoto wakike wa Mungukatika dini tumefundishwa haya mambo yote.tofauti kati ya malaika,majini na binadamu..malaika waliumbwa kwa Nuru..majini kwa moto..na binadamu kwa udongo...wakristo walifichwa hizi habari makusudi katika biblia.walitaka kuwaaminisha watu kuwa malaika ni watoto wa kike wa MUNGU.jambo ambalo siyo kweli.malaika hawana jinsia na hawali wala hawanywi kama majini na binadam..hata story za majini kuzaa na watu siyo kweli coz malaika hawajawahi kumuasi Mwenyezi MUNGU hata siku moja.