Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

Kwa faida ya kujifunza itabidi tutumie tafsiri nyepesi na kwa mifano jinsi kasi na anga inayoathiri muda.

Mfano1: Ukiona nyota angani muonekano huu ni miaka mamilioni iliyopita mpaka mwanga umetoka huko kutufikia Duniani sasa hii nguvu ya kasi ya mwendo wa mwanga sasa leo nyota ya ukubwa wa jua ikiumbika leo katika umbali kama lilipo Jua ikalipua mwanga katika kiini chake huo mwanga utatufikia takribani miaka milioni 3 hapa tulipo.

Sasa hapa ikatokea chombo kinasafiri kwa kasi ya Mara 2 ya mwanga kinaweza kutumia

Miaka 3,000,000/466,666.666 sekunde itakuwa ameona huo mwanga kwa sekunde 6.5 hapa kilicho athiri muda ni kasi ya kusafiri na akifika huko akarudi duniani mda atakuta ni miaka million 3 inawezekana akakuta hakuna watu Yesu alishawachukua wote itabidi utafte walikoelekea uwafuate na kama wanasafiri kwa mwendo wa kasi ya mwanga Mara moja unaweza ukawakuta ½ ya safari ukawapita wakakukuta ulishafika kwa mda kitambo.

Kama sitaeleweka nitatafta kiswahili fasaha ili niitendee haki hii mada
View attachment 758038
 
Najaribu ku connect the dots.
Sheikh yahya hussein katika mojawapo ya vipindi vyake alizungumzia aina ya majini na kazi zake, sasa kuna jini mmoja jina sikumbuki alisema anauwezo wakuhamisha nyumba kutoka location moja kwenda lingine kufumba na kufumbua, yaani within a second.
 
Duh nmekuelewa kabisa mkuu ila changamoto ni kupata hiyo speed of light je kuna uwezekano kikabuniwa chombo Chenye spidi zaidi ya mwanga au itabakia kwenye nadharia tu!!!

Endelea kutupa darasa kwenye tasnia hii
 
sasa na huu mwanga unaokuja usiku na mchana inakuaje?
inamaana mwanga tuliouona mchana wa leo wa jua ni wa miaka mil3 iliyopita?
 
Sheikhe yahaya alikuwa na mambo mengi ya mambo ya Giza lakini ukiweza kuyaweka katika sayansi ya fizikia yatakuletea mambo makubwa sema yeye alijiweka katika uchawi wa kijinga usio na faida kwa jamii labda kwake
 
Haya mambo ni makubwa mno,tafadhali msiendelee wengine tunahisi vichwa kuungua!
Tunatakiwa kutumia akili alizotupa Mungu maana tumeshindwa kabisa kutumia hata 15 ya akili zetu ndiyo maana watu wengine ni masikini wa kutupwa huku wengine wakiwa matajiri wasiohesabika tatizo ni upungufu wa akili kwa sababu Mungu ameumba Dunia ni Mali yetu sote haikupasa kuwe na masikini wala tajiri ilitakiwa tuwe sawa tatizo ni Babeli kutuchanganya lugha ili mnara usiendelee
 
Kwa hili Hollywood wamefanikiwa. tusubiri in reality
Mkuu binadamu tukiweza kutumia ubongo kwa 60% haya yote yatawezekana lakini 80% ya binadamu hutumia chini ya 5% na wengine 16% hutumia 5%-11% na asilimia 4% ya binadamu wote ndio hutumia 11%-15

Tukiweza kuliwekea umhimu bila kupotoshana duniani inawezekana watu wote kuhama na kufanya maisha kuwa marefu yasiyo koma
 
Daah! Kweli uchawi upo....!
 
Duh nmekuelewa kabisa mkuu ila changamoto ni kupata hiyo speed of light je kuna uwezekano kikabuniwa chombo Chenye spidi zaidi ya mwanga au itabakia kwenye nadharia tu!!!

Endelea kutupa darasa kwenye tasnia hii
Inawezekana chombo kikatengenezwa maana kila kukicha wenzetu wanatafiti kupata mabadiriko ya mbadala mpya na kuachana na mambo ya zamani mfano;

Russia ametengeneza makombora yanayoweza kushambulia sehemu yeyote hapa duniani inaonekana yanasafiri kwa kasi ya 99.567sk inamaana ukiwa DSM kulipua mwanza utatumia 15.6sk
Ukiwa DSM kulipua Kampala utatumia sekunde km 1950 utatumia 24sk sasa ikiwezekana yakaboreshwa Mara 1000 ya kasi hii tayali unaikaribia kasi ya mwanga 92%

Inawezekana lakini kiumbe kitakachosafiri kwa hali ya kawaida itabidi kiwe kama kimekufa ili kitakapo fika kinakoelekea ndio kifanyiwe uponyaji kurudi hai lakini uwwzekano 99.9% KUFA kiumbe kitakacho safiri kwa kasi uwezekano wa kuishi ni 0.01%

Au kama tutatengeneza roboti ambazo tunaweza kuhamishia uhai hapo uwezekano wa kusafiri 100% maana miili tutakuwa tumeiacha Duniani
 
sasa na huu mwanga unaokuja usiku na mchana inakuaje?
inamaana mwanga tuliouona mchana wa leo wa jua ni wa miaka mil3 iliyopita?
Ndio na mianga mingine katika Nyota imesafiri mabilioni ya miaka ndio mwanga tunaoona leo hii kwa mfano nyota hii imekuwa (red giant) nyota nyekundu na kutanuka kumeza sayari zake miaka kama billion 1.5 iliyopita lakini leo tunaiona hivi na huenda ilisharipuka lakini itatuchukua miaka million 100 kuona kutoweka kwake lakini je kuna mwanadamu anaweza kufika miaka milioni 100 haiwezekani lakini ukisafiri Mara 2 ya kasi ya mwanga utaiona mapema
 
Duh!
Wabongo kuna baadhi ya mambo yapo yametokea Na yataendelea kutokea!
Cern Na hiyo theory ya time hata hiyo experiment ni vitu vipo wazi!

Ukigeuza uchawi wa ki Africa unapata uchawi wa malaika wasi ambao uitwa uchawi wa kifizikia aka uchawi wa kisayansi
 
Daaah mada moto sana hii!! Hongereni wakuu!!
 
Mkuu umenifungua vitu vingi sana leo kwenye sayansi za universe yetu..... Tukibakia kwenye mada ya teleportation hivi wormhole haiwezi kutumika kupunguza distance za hizo sayari na galaxy zingine na kuwezesha kufikika kirahisi bila kutumia miaka mingi kusafiri hata kma bila spidi ya mwanga au wormhole ipo kimakaratasi tu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…