Upi ni Usajili Mzuri kati ya Abdul Razak wa Yanga SC na Chikwende wa Simba SC

Haya Ndg hakuna shida tumewazoea mashabiki wa Simba mna maneno na kujiamini sana mwisho wa siku mnakimbia maneno yenu.Muda utasema
 
Sawa tusubiri tuone kila Mchezaji mnayesajiri mnasifia hivyo hivyo mwisho wa siku mnahaibika.Muda utasema,ngoja tusubiri
 
Afu kumbe RAZAK kasaini miezi 6 tu , kama kweli ni mchezaji mzuri kwanini awe wa miezi sita na asiwe mika miwili au mitatu au yupo kwa majribio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…