Upi Uoga wako Mkubwa kwenye mapenzi?

Upi Uoga wako Mkubwa kwenye mapenzi?

Mkuu hi ya kupata magonjwa kuna siri gani kwani..
Maana kuna mimi sijawahi waza kutumia condom na sijawahi gumia hata STDs moja
Mbona kuna mahali niliona ulisema ulipata GONO?

Magonjwa ya ngono yanatisha sana, 2018 nilimuona jamaa fulani hivi ni ndugu yake na mshkaji wangu, dhakari ilipitiwa na pangusa ikapukutika yote na alikua anaficha, yalipomzidia akasema ndio kumpeleka hospital wakachonga nyama ya paja kidogo ikawekwa kwenye eneo lililopukutika nyama. From there nikaunganisha na wanaoteseka na HIV ndio nilijua kuwa utam umekaa pabaya sana napaswa kuwa makini zaidi ya jana.
 
Kipindi kile nilijichanganya nilikua nakojoa 🔥 🔥 sio kama nilipata gono
😂😂😂😂😂😂

Sema mkuu kweli utamu upo pabaya sana daaah mungu atusaidie sisi ma hustler aiseee mtaji wetu ni afya
 
Kipindi kile nilijichanganya nilikua nakojoa 🔥 🔥 sio kama nilipata gono
😂😂😂😂😂😂

Sema mkuu kweli utamu upo pabaya sana daaah mungu atusaidie sisi ma hustler aiseee mtaji wetu ni afya
kukojoa moto sio gono ni nini?

Afya ni mtaji sana mimi kavu sipigi bila kupima, bora nisifanye kuliko niuze mechi. Juzi kuna limshanga fulani hivi lilinifosi sana ila halitaki mpira kabisa, alivyogoma na mimi nikagoma kata kata. Kuilinda Afya yangu ni kipaumbele changu cha kwanza.
 
Uoga wangu ni kuishi na jambazi anaitwa mke kwa miaka zaidi ya thelathini halafu tunapata vibaka fulani waitwe watoto.Halafu,naamua kupumzika ila huyo jambazi/mke anaanzisha vurugu akishirikiana na vibaka/watoto wanidhulumu mali zote na kugawana wakisaidiwa na sheria kandamizi waniache nimezubaa kama mbu mgane.Ooh...man,it's horrible!
 
Back
Top Bottom