covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Std..kwenye suala la mapenzi,woga wako mkuu ni upi?
Kuna mtaa nilimtembelea rafiki yangu kuna pisi kweli ila sasa zina gona balaa isee dem yyte akiniambia anatoka huo mtaa na mazoea nakata kabisa..