Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mimi ni mkaka wewe je..?Kabisa my dear
Mm ni mshangaziπMimi ni mkaka wewe je..?
Kwanini mnacheza na akili yangu ππππππMm ni mshangaziπ
Jaman pole sana rafiki, utaelewa tu mimi nipo kwa ajili yakoπKwanini mnacheza na akili yangu ππππππ
Mnajua kabisa mi uzaifu wangu ni nini ..
Upo wapi kwa sasa antiel mana hapa sielewi aiseee
Hayo sijasema mimiHeee jamani, marinda yanatunzwa sio kupendwa tuu
hahahhaha tatizo kuna ule usemi unasema samaki mmoja akioza wote wameoza, ila tambua wapo tena wengi tuWa kupatikana kwa bahati sana.Watu wanaishi kwa kuviziana tu.
Nimesema miyeeeHayo sijasema mimi
Upo wapi kwani..πππJaman pole sana rafiki, utaelewa tu mimi nipo kwa ajili yakoπ
Nipo najitafuta rafikiUpo wapi kwani..πππ
Za toka jana
Mi na wewe tupo hivi π€π€π€Nipo najitafuta rafiki
Usijali rafiki inabidi tuonane tuongeze nguvu unitie moyoooMi na wewe tupo hivi π€π€π€
Hata mimi najitafuta...
Fanya unikaribishe ili tuyapange zaidi rafiki(Mshangazi)
Kwa sasa upo wapi...Usijali rafiki inabidi tuonane tuongeze nguvu unitie moyooo
Nipo Ulaya Rufiji najitafuta, nipe order basi ya mikeka nikuletee rafiki, nasuka ukiri mwenzioKwa sasa upo wapi...
Mi nipo dasalam
Sikia njoo huku dasalam tujitafyte wote nimechoka kuishi na mishangazi hawana future... π€π€π€π€Nipo Ulaya Rufiji najitafuta, nipe order basi ya mikeka nikuletee rafiki, nasuka ukiri mwenzio
Alaf viba100 vinaviherehere jamani, havilali ovyo kila mara viko wimawima tuu yaan hapo ndipo nilipoona maajabu ya viba100, sio mgobole muda wote umetazama chini likiinua kichwa ni dakika limeinama, ila kiba100 hata kikitema asali kinabaki juujuu tu kama break ya ndegeNaogopa kuanzisha mahusiano mapya as sitaki kukiaibisha kiba100 changuπ π π
Sitaki kuwa mzigo wa mtu, nshazoea kula mihogo ya shamba yaani mitamu jaman, sasa huko si ndio nitakutana na michelema miyeeeSikia njoo huku dasalam tujitafyte wote nimechoka kuishi na mishangazi hawana future... π€π€π€π€
Naona unanisemaAlaf viba100 vinaviherehere jamani, havilali ovyo kila mara viko wimawima tuu yaan hapo ndipo nilipoona maajabu ya viba100, sio mgobole muda wote umetazama chini likiinua kichwa ni dakika limeinama, ila kiba100 hata kikitema asali kinabaki juujuu tu kama break ya ndege
Kwa hiyo unapendelea kipi kati ya hivyo mkuu?Alaf viba100 vinaviherehere jamani, havilali ovyo kila mara viko wimawima tuu yaan hapo ndipo nilipoona maajabu ya viba100, sio mgobole muda wote umetazama chini likiinua kichwa ni dakika limeinama, ila kiba100 hata kikitema asali kinabaki juujuu tu kama break ya ndege