Upi wimbo bora wa Gospel kwa kati ya hizi nne?

Upi wimbo bora wa Gospel kwa kati ya hizi nne?

Ni wimbo gani bora katika ya nyimbo hizi nne?

  • Shangwe Voices- Kidoe

    Votes: 0 0.0%
  • Agape Gospel Band- Wazee 24

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Ni muda sasa tumepata kuona mabadiliko makubwa sana kwenye nyimbo za dini (gospel) haswa katika upande wa lugha ya kiswahili, Kuna kwaya kadhaa zimepata kuondoka na upepo mkubwa sana ndani ya jamii, Zabron Singer, Shangwe Voices, Agape Gospel Band, pamoja na The Survivors Gospel Choir.

1724443497269.png

Binafsi unadhani upi ni wimbo wako bora kati ya:


1. Zabron Singer- Mkono wa Bwana

View: https://www.youtube.com/watch?v=ckNlEj8PMUI&pp=ygUdWmFicm9uIFNpbmdlci0gTWtvbm8gd2EgQndhbmE%3D

2. Shangwe Voices- Kidoe

View: https://www.youtube.com/watch?v=Cw-iMSGtExY&pp=ygUVU2hhbmd3ZSBWb2ljZXMtIEtpZG9l

3. Agape Gospel Band- Wazee 24

View: https://www.youtube.com/watch?v=LdbsTOeqk68&pp=ygUbQWdhcGUgR29zcGVsIEJhbmQtIFdhemVlIDI0

4. The Survivors Gospel Choir- Mashamsham

View: https://www.youtube.com/watch?v=BFRN7QiZIXs&pp=ygUmVGhlIFN1cnZpdm9ycyBHb3NwZWwgQ2hvaXItIE1hc2hhbXNoYW0%3D
 
Ukisikia worship ndio kama hii
 
Back
Top Bottom