Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Upigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi kuna uwezekano mkubwa wa majibu kupangwa tayari kabla ya kikao.
wamepiga kura ya kupitisha mabadiliko ya katibaKumbe na kura wamepiga
Ukiona unapenda uongo uongo na kushabikia uovu hujue akili hunaMsomi anahoji kwa vielelezo ila hiki chako ni kituko Cha usomi
Hivi walitumia teknolojia gani kuhesabu kura?Upigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi kuna uwezekano mkubwa wa majibu kupangwa tayari kabla ya kikao.
Mkubwa ni yupi ? hivi huyu muongo muongo ambaye hawezi kufanya vitu vilivyo nyooka bila wizi na udanganyifu ni mkubwa au dhaifu ?Poleni sana nyumbu wote, hiyo ndo ccm. Ina mambo ya kikubwa kiasi kwamba watoto kamwe hamuwezi kuelewa na Kila siku mtabaki mnashangaa tu. Nyie hadhi yenu ni ya kufunga vibwebwe tu na kukatikia midundo ya gwajima na polepole.
Haahaa Yaani ni full maigizoUpigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi kuna uwezekano mkubwa wa majibu kupangwa tayari kabla ya kikao.
Mkutano wa lini huu na ndani ya pori gani au uanda upi?Atavowahadaa wananchi if akienda kwenye kampeni. But wananchi washajua yeye ni mnyama anaekula nyama, mbogamboga ataziweza wapi?View attachment 3419632
Anzisha chama chako, Piga kura unavyotakaUpigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi kuna uwezekano mkubwa wa majibu kupangwa tayari kabla ya kikao.
Unajua maana ya demokrasia?Anzisha chama chako, Piga kura unavyotaka
Wewe unajua?Unajua maana ya demokrasia?
Weka hakiba ya maneno, subiri uone zogo litakalozushwa na wanaccm hasa wa kanda ya ziwa siku mbili hizi. Hakuna wajinga wa kudumu boss.Poleni sana nyumbu wote, hiyo ndo ccm. Ina mambo ya kikubwa kiasi kwamba watoto kamwe hamuwezi kuelewa na Kila siku mtabaki mnashangaa tu. Nyie hadhi yenu ni ya kufunga vibwebwe tu na kukatikia midundo ya gwajima na polepole.
Hahahahahaaa. Ungenijua basi. Mi najaribu kuwa mtetezi tu kwa anayeonewa.......na humu naona Samia anaonewa sana hivyo namsupport kisawasawa. Nje ya hapo, mi nipo zangu kijijini Huku miaka na miaka, sina issue zaidi ya kupalilia korosho tu.Mkubwa ni yupi ? hivi huyu muongo muongo ambaye hawezi kufanya vitu vilivyo nyooka bila wizi na udanganyifu ni mkubwa au dhaifu ?
Nakushauri bure dogo kwa hizi akili achana na siasa utakuja kututia aibu taifa.
Yaani chakandumuz wamemsahau kabisa domoKupitia vikao au mikutano ya mtandaoni inawezekana kabisa na kama kuna shida yoyote kuhusu kura zilizopogwa basi wajumbe watasema.