GE2025 Upigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi, ilikuwa maigizo

GE2025 Upigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi, ilikuwa maigizo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mahakama imeagizwa na ccm kuzuia shughuli zozote za cdm, unataka nikahoji wapi?
Mfuate lema akurudishie tone tone Yako, mbona unashangaa kamanda?!!!🤣🤣🤣
Kwenye fungu aliopewa yeye, tone tone Yako ilikuwa ndani yake.
 
Mfuate lema akurudishie tone tone Yako, mbona unashangaa kamanda?!!!🤣🤣🤣
Kwenye fungu aliopewa yeye, tone tone Yako ilikuwa ndani yake.
Kama alipewa naona alipewa kidogo, inabidi niongeze apate ya kutosha, maana anafanya kazi ya kuamsha waliolala.
 
Hahahahahaaa. Ungenijua basi. Mi najaribu kuwa mtetezi tu kwa anayeonewa.......na humu naona Samia anaonewa sana hivyo namsupport kisawasawa. Nje ya hapo, mi nipo zangu kijijini Huku miaka na miaka, sina issue zaidi ya kupalilia korosho tu.
Eeeeh weee binti Unasema hauna issue wakati wewe ni Nesi unawachoma wagonjwa sindano
 
Hivi mmewaho kumjibu hoja ya Dr Slaa kuwa ndani ya chadema Kuna utekaji?!!!!!
Wakati huo serekali yenye dhamana ya usalama ikiwa imelala, huku taasisi za serekali ya CCM zikiendelea kuidhinisha kodi zetu ktk jina la ruzuku ziende CHADEMA wazidi kuuwawa?.... serekali ya kigaidi.
 
Naam, hatujakielewa. Rudia tena
 
It was sham procedure, Kuna maeneo matatu ambayo wasio hudhuria ni zaidi ya 16 hapo hujahesabu udhuru ila matokeo ya Taifa ni watu 16 pekee hawakuhudhuria
 
Wanachakachua uchaguzi mzima wa nchi itakua haya maigizo yao? Kifua kipana aliunda 99% akampa mkwe tu yakaisha. Hivi bado kuna mtu anawaamini?
 
It was sham procedure, Kuna maeneo matatu ambayo wasio hudhuria ni zaidi ya 16 hapo hujahesabu udhuru ila matokeo ya Taifa ni watu 16 pekee hawakuhudhuria
Ikikupendezeni basi zusheni kabisa kuwa Kuna maeneo hakuwepo mtu hata mmoja. Au unaonaje kamanda?!!!
 
Ikikupendezeni basi zusheni kabisa kuwa Kuna maeneo hakuwepo mtu hata mmoja. Au unaonaje kamanda?!!!
Unajua issue za Namba ni sayansi, unaweza kwenda Youtube kutazama video nzima ya kilichofanyika... Utakuwa una ubinafsi mkubwa sana kutoona kilichofanyika pale hakikuwa sahihi
 
Unajua issue za Namba ni sayansi, unaweza kwenda Youtube kutazama video nzima ya kilichofanyika... Utakuwa una ubinafsi mkubwa sana kutoona kilichofanyika pale hakikuwa sahihi
Nilikuwa kabisa ukumbuni, achana na habari za YouTube. Mi nilikuwepo kabisa. Poleni sana! Najua mnayopitia kwa Sasa.
 
Nilikuwa kabisa ukumbuni, achana na habari za YouTube. Mi nilikuwepo kabisa. Poleni sana! Najua mnayopitia kwa Sasa.
Sasa mtaalam huwezi ukatudanganya watu wazima, unatumia style ya kitambo sana kutetea walichofanya CCM leo
 
Fairness ni kurudisha wabunge wote watete wote kwenye kura za maoni.

Upuuzi ni kudhani nafasi za ubunge ni sahihi kwa watu walio chini ya miaka 40, kama kupendelea vijana basi ni 35 years upwards.

Vinginevyo vijana wengi under 35 years hawajapikwa kiuongozi ni ghasia tu, kuwapa nafasi nikuongeza tatizo.

Likewise CCM nonsens is not our main problem, shida yetu ya msingi ni usstable civil services lengo kubadilisha hilo na kupunguza madaraka ya raisi,

Hivi raisi mwenye akili zake timamu angeweza mtoa Dorothy Gwajima wizara ya afya that was beyond me.
 
Back
Top Bottom