GE2025 Upigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi, ilikuwa maigizo

GE2025 Upigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi, ilikuwa maigizo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Weka hakiba ya maneno, subiri uone zogo litakalozushwa na wanaccm hasa wa kanda ya ziwa siku mbili hizi. Hakuna wajinga wa kudumu boss.
Inatarajiwa hivyo kutoka kwa haters wachache (wanaofahamika), kwakuwa Kuna Mungu mtetezi wa taifa hili basi hilo litashindwa na kama yalivyoshindwa mengine. Uzuri ni kwamba huko Kanda ya ziwa unakokusema mambwiga ni wachache na wanaojua na kukubali kazi ya Samia ni wengi mnooooo. Pia wamejanjaruka, hivyo kete yenu ya ukanda inakufa asubuhi na mapema.
 
Watu wameshaamka, subiri ujue bado mko stone age.
 
Hahahahahaaa. Ungenijua basi. Mi najaribu kuwa mtetezi tu kwa anayeonewa.......na humu naona Samia anaonewa sana hivyo namsupport kisawasawa. Nje ya hapo, mi nipo zangu kijijini Huku miaka na miaka, sina issue zaidi ya kupalilia korosho tu.
Huna akili samahani lakini
 
Kalale nyumbu upumzike na maumivu makali ya Leo. Ushauri tu, usijiumize zaidi.
Tulia muumini wa chama la wazee. Mkutano wa kuhutunia hakuna mwenye uwezo wa kuhoji, wala kupinga, huoni huo ni mkutano wa maroboti?
 
Tulia muumini wa chama la wazee. Mkutano wa kuhutunia hakuna mwenye uwezo wa kuhoji, wala kupinga, huoni huo ni mkutano wa maroboti?
Anasema anamuonea huruma Samia atakama anakosea nime muuliza anajua demokrasia ni nini hajui ?

Sasa hizi ni akili za wapi
 
Weka hakiba ya maneno, subiri uone zogo litakalozushwa na wanaccm hasa wa kanda ya ziwa siku mbili hizi. Hakuna wajinga wa kudumu boss.
Acha ademke tu,kama hata kuwa dr.Nyau nyau badala ya wa Manesi
 
zoezi zima lilikua la huru na haki binafsi nimeshiriki
Huu mfumo utatumika sana mbeleni na sasa kama ambavyo wakati wa covid ulitumika kwenye vikao na mikutano ya kimataifa na uliifaa dunia. Unaweza kusave pesa kwa kufuata mfumo huo.

Ghalama za kusafiri kwenda Dodoma na kulala pamoja na chakula zinapungua kwa kiwango kikubwa.
 
Upigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi kuna uwezekano mkubwa wa majibu kupangwa tayari kabla ya kikao.
 
Poleni sana nyumbu wote, hiyo ndo ccm. Ina mambo ya kikubwa kiasi kwamba watoto kamwe hamuwezi kuelewa na Kila siku mtabaki mnashangaa tu. Nyie hadhi yenu ni ya kufunga vibwebwe tu na kukatikia midundo ya gwajima na polepole.
Utekaji nao umo kwenye mambo ya kikubwa.
 
Walichokua wanakipigia kura unakijua??? Je kilihitaji uwazi Gani mbona ni Cha faida na Cha kidemojrasia ZAIDI.......
Upigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi kuna uwezekano mkubwa wa majibu kupangwa tayari kabla ya kikao.
 
Tulia muumini wa chama la wazee. Mkutano wa kuhutunia hakuna mwenye uwezo wa kuhoji, wala kupinga, huoni huo ni mkutano wa maroboti?
Ulikuwepo kamanda katika mkutano?!!! Wewe umewahi kuhoji nini' kuhusu matumizi ya tone tone?!!!!!
 
Ulikuwepo kamanda katika mkutano?!!! Wewe umewahi kuhoji nini' kuhusu matumizi ya tone tone?!!!!!
Mahakama imeagizwa na ccm kuzuia shughuli zozote za cdm, unataka nikahoji wapi?
 
Back
Top Bottom