Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Inatarajiwa hivyo kutoka kwa haters wachache (wanaofahamika), kwakuwa Kuna Mungu mtetezi wa taifa hili basi hilo litashindwa na kama yalivyoshindwa mengine. Uzuri ni kwamba huko Kanda ya ziwa unakokusema mambwiga ni wachache na wanaojua na kukubali kazi ya Samia ni wengi mnooooo. Pia wamejanjaruka, hivyo kete yenu ya ukanda inakufa asubuhi na mapema.Weka hakiba ya maneno, subiri uone zogo litakalozushwa na wanaccm hasa wa kanda ya ziwa siku mbili hizi. Hakuna wajinga wa kudumu boss.
Watu wameshaamka, subiri ujue bado mko stone age.Inatarajiwa hivyo kutoka kwa haters wachache (wanaofahamika), kwakuwa Kuna Mungu mtetezi wa taifa hili basi hilo litashindwa na kama yalivyoshindwa mengine. Uzuri ni kwamba huko Kanda ya ziwa unakokusema mambwiga ni wachache na wanaojua na kukubali kazi ya Samia ni wengi mnooooo. Pia wamejanjaruka, hivyo kete yenu ya ukanda inakufa asubuhi na mapema.
Huna akili samahani lakiniHahahahahaaa. Ungenijua basi. Mi najaribu kuwa mtetezi tu kwa anayeonewa.......na humu naona Samia anaonewa sana hivyo namsupport kisawasawa. Nje ya hapo, mi nipo zangu kijijini Huku miaka na miaka, sina issue zaidi ya kupalilia korosho tu.
Kalale nyumbu upumzike na maumivu makali ya Leo. Ushauri tu, usijiumize zaidi.Watu wameshaamka, subiri ujue bado mko stone age.
sawa sawaKalale nyumbu upumzike na maumivu makali ya Leo. Ushauri tu, usijiumize zaidi.
Tulia muumini wa chama la wazee. Mkutano wa kuhutunia hakuna mwenye uwezo wa kuhoji, wala kupinga, huoni huo ni mkutano wa maroboti?Kalale nyumbu upumzike na maumivu makali ya Leo. Ushauri tu, usijiumize zaidi.
Anasema anamuonea huruma Samia atakama anakosea nime muuliza anajua demokrasia ni nini hajui ?Tulia muumini wa chama la wazee. Mkutano wa kuhutunia hakuna mwenye uwezo wa kuhoji, wala kupinga, huoni huo ni mkutano wa maroboti?
Acha ademke tu,kama hata kuwa dr.Nyau nyau badala ya wa ManesiWeka hakiba ya maneno, subiri uone zogo litakalozushwa na wanaccm hasa wa kanda ya ziwa siku mbili hizi. Hakuna wajinga wa kudumu boss.
Bila Samahani mkuu. ni kawaida kusikia maneno hayo kutoka kwa taahira maana yeye hata haelewi hata hiyo akili ni nini....anachojua nHuna akili samahani lakini
Huu mfumo utatumika sana mbeleni na sasa kama ambavyo wakati wa covid ulitumika kwenye vikao na mikutano ya kimataifa na uliifaa dunia. Unaweza kusave pesa kwa kufuata mfumo huo.zoezi zima lilikua la huru na haki binafsi nimeshiriki
Upigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi kuna uwezekano mkubwa wa majibu kupangwa tayari kabla ya kikao.
Utekaji nao umo kwenye mambo ya kikubwa.Poleni sana nyumbu wote, hiyo ndo ccm. Ina mambo ya kikubwa kiasi kwamba watoto kamwe hamuwezi kuelewa na Kila siku mtabaki mnashangaa tu. Nyie hadhi yenu ni ya kufunga vibwebwe tu na kukatikia midundo ya gwajima na polepole.
Upigaji kura wa leo CCM haukuwa wa wazi kuna uwezekano mkubwa wa majibu kupangwa tayari kabla ya kikao.
Hivi mmewaho kumjibu hoja ya Dr Slaa kuwa ndani ya chadema Kuna utekaji?!!!!!Utekaji nao umo kwenye mambo ya kikubwa.
Ulikuwepo kamanda katika mkutano?!!! Wewe umewahi kuhoji nini' kuhusu matumizi ya tone tone?!!!!!Tulia muumini wa chama la wazee. Mkutano wa kuhutunia hakuna mwenye uwezo wa kuhoji, wala kupinga, huoni huo ni mkutano wa maroboti?
Umemuuliza nani?!!!Anasema anamuonea huruma Samia atakama anakosea nime muuliza anajua demokrasia ni nini hajui ?
Sasa hizi ni akili za wapi
Na Polepole mwenyewe kapiga kura ya ndio, kwa sababu naye atapata nafasi ya kumchagua ampendae. Ni Ful demokrasia. Wengi watashiriki, sio wahuni peke yao.Kumbe na kura wamepiga
Mahakama imeagizwa na ccm kuzuia shughuli zozote za cdm, unataka nikahoji wapi?Ulikuwepo kamanda katika mkutano?!!! Wewe umewahi kuhoji nini' kuhusu matumizi ya tone tone?!!!!!