Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Hizi tafiti sijui zinafanyika wapi na kwa watu gani!!

Nahis hasa wapiga nyeto na km hujuavyo kuwa asilimia kubwa ya vijana wengi tumepitia haya mambo ya nyeto so nadhan hutumia hii pia ktk tafit zao
 
Mbaya zaidi unakuwa sio rafiki wa MUNGU..HUWEZI KUWA MCHA MUNGU NA HUKU UNAPIGA PUNYETO

Dah yaan nimeona had kwenye bible tu inasema na alaamiwe mpiga nyeto[emoji16][emoji16]ila wazee wa chaputa ukiwaambia hiv hawakuelew kabisaaa
 
Kwani wewe umeshasikia mtu kafa kwa kupiga nyeto mkuu?

VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA

Dah unajua nyie wanachama wa CHAPUTA ni wabishi sana ktk hili hasa mkiambiwa kuna madhara yake bas huwa mnatafuta sababu tu hata za ovyo ovyo ili kuupindisha ukweli mkuu[emoji16] ila kwa thread km hii lazima mbadilike bhana msituletee watoto goi goi bureee hapo bdae
 
Tatizo mnachukua matatizo ya mtu binafsi na kuyaita ni madhara ya puchu.

VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Mimi ni shuhuda wa hili,nilipata tatizo la mood oscillation a.k.a depression kutokana na kujichua kwa muda mrefu nikiwa skuli.Haikuthibitishwa na daktari bali mimi mwenyewe nilifanya self diagnosis.

Uwezo wangu wa kukumbuka umepungua sana kiasi kwamba nilisahau hata Password ya akaunti yangu ya JF.
Yaani namlaumu bro wa A-level aliyenifundisha hii tabia kipindi nipo kidato cha 1
Sent using Jamii Forums mobile appq0
 
Back
Top Bottom