Chrix_Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 880
- 1,100
Mimi ni shuhuda wa hili,nilipata tatizo la mood oscillation a.k.a depression kutokana na kujichua kwa muda mrefu nikiwa skuli.Haikuthibitishwa na daktari bali mimi mwenyewe nilifanya self diagnosis.
Uwezo wangu wa kukumbuka umepungua sana kiasi kwamba nilisahau hata Password ya akaunti yangu ya JF.
Yaani namlaumu bro wa A-level aliyenifundisha hii tabia kipindi nipo kidato cha 1
Sent using Jamii Forums mobile appq0
Dahh pole sana mkuu ila km umeacha bas itakua vema pia jarib kutumia matunda ya kurudisha kumbukumbu itakusaidia sana