Hello! Bila shaka hamjambo wana jamvi!
Je wewe ni mhanga wa kujichua ? Je umepoteza mvuto na hisia dhidi ya jinsia nyingine? Je umepoteza nguvu za kiume sababu ya kujichua ? Unahitaji msaada wa kuacha? Karibu upone! Hatutumii dawa, tunatumia ushauri nasaha kisaikolojia.
Kwa muathirika wa punyeto au kujichua (masturbation) anajuwa adha anayopata, hivo sitazungumzia sana jinsi gani na kwa kiwango gani mwathirika wa jambo hili alivyo halibika katika nguvu za kiume na kisaikolojia yake!
Umewahi kufanya hivi ukafanikiwa au ni 0?
Umewahi kuwaza kwamba unataka kuacha ? Lakini unadhani huwezi ? Umejitahidi kufikiria umeshindwa ? Umegundua kuacha inawezekana na inaweza kuongeza uwezo wako wa nguvu za kiume, umeacha baadae ukarudia ? Hujafanikiwa ?
Je umewahi kufanya hivi au ni 0?
Anza mpango sasa, weka malengo punguza speed, punguza muda wa kukaa karibu na vishawishi, kumbuka unaharibu akili na uwezo wa nguvu zako za kiume au za kike. Umeelewa ? Unajimaliza. Unajitesa. Ni dhambi pia. Umeshindwa ?
Hivi je ? au ni 0?
Punguza muda wa kukaa kitandani muda usiofaa kuwepo hapo. Tumia kitu kupumzika kaa pamoja na watu ukiona uko pakee yako. Jichanganye na watu salama.
Bado umekwama ?
Ukiona hali ya mihemko ya kihisia inakunyemelea chukua maji ya baridi oga maji mengi kadri uwezavyo. Hii haipunguzi tu mchecheto wa kihisia bali ina faida nyinginezo hasa kuweka akili yako kuwaza upya.
Umejaribu na hii au bado 0?
Ukihisi mihemko pia unaweza kutoka na kufanya mazoezi mepesi kama kukimbia, kuruka kamba kucheza mpira, na michezo mingine. Hii hufanya mwili na akili kuwa imara hata kusaidia kufanya maamuzi sahihi!
Umefanikiwa ? Au bado 0?
Kama unatumia muda wa kuoga ili kujichua ebu fanya hivi ! Hakikisha una set muda wa kuoga ulio mfinyu zaidi yaani kama kawaida unatumia dkk 7 kuoga tenga dkk 3 uwe umemaliza kuoga na kutoka bafuni haraka sana kumbuka usioge maji ya moto au uvuguvugu.
Hujafanikiwa ? Ebu fanya hivi !!!
Ikiwa wengi wao wanapenda kujichua nyakati za usk wamelala Fanya mazoezi kila siku jioni, hii itakufanya ulale mchovu. Hii itakufanya kipaumbele chako kiwe kulala badala ya kuwaza punyeto.
Pengine bado unahangaika sana !! Fanya hivi
Jaribu kufunga kula (fasting.) Kitendo cha kufunga kula na kunywa kwa masaa kadhaa kwa siku hufanya akili ipoteze nguvu ya kuwazia mambo unayoamini sio mhimu kwako pia huleta uchovu fulani. Pia kufunga kunakuwa kama maombi dhidi ya kujutia aina hiyo ya dhambi au uovu.
Pengine hiii nayo hujafanikiwa nayo?
Ikiwa mawazo ya kujichua yanakuja akilini haraka jaribu kuwaza kufanya au kuona vitu mbadala unavyopenda hasa mfano labda unapenda michezo,movie au kukaa na wenzio kupiga story.
Bado ?
Sasa ni rahisi zaidi kuacha kwa wale walio na wapenzi. It's unaweza kumshirikisha mpenzi wako tatizo lako akusaidie unapohitaji kujihudumia. Kuwa karibu na mpenzi wako itakufanya akili yako kuthamini jinsia tofauti na yako na kuona umhimu wa yeye kuliko kiganja na sabuni.
Inawezekana umefanya yote lakini bado?
Acha kabisa kuangalia picha, video, michezo na tamthilia zenye kuonyesha maungo na utupu wa watu. Moja ya sababu kubwa inayopelekea zaidi mihemko na kuamusha hisia za watu zilizo lala za ngono ni kuangalia picha na video za namna hiyo.
Hellow! Yawezekana una pata shida sana kukabiliana na hali hiyo huwenda umeshakuwa uraibu. Chukua hatua kwa wataalam kwa msaada zaidi bado hujachelewa.
Ahsante !