Mimi ni shuhuda wa hili,nilipata tatizo la mood oscillation a.k.a depression kutokana na kujichua kwa muda mrefu nikiwa skuli.Haikuthibitishwa na daktari bali mimi mwenyewe nilifanya self diagnosis.
Uwezo wangu wa kukumbuka umepungua sana kiasi kwamba nilisahau hata Password ya akaunti yangu ya JF.
Yaani namlaumu bro wa A-level aliyenifundisha hii tabia kipindi nipo kidato cha 1
Sent using Jamii Forums mobile appq0
Mfano matunda yapi mkuu,nimejaribu sana kufanya mambo ya meditation lakini wapi,ni kama ubongo umeweka cloud fulani.Asikudanganye mtu kuwa Masturbation has no harm,acha kabisa.Dahh pole sana mkuu ila km umeacha bas itakua vema pia jarib kutumia matunda ya kurudisha kumbukumbu itakusaidia sana
Miongoni mwa mboga zenye kiasi kikubwa cha virutubisho vinavyoongeza kumbukumbu ni pamoja na kabichi na maua ya maboga. Zingine ni mboga za kijani kama vile mchicha, majani ya maboga, nk.Mfano matunda yapi mkuu,nimejaribu sana kufanya mambo ya meditation lakini wapi,ni kama ubongo umeweka cloud fulani.Asikudanganye mtu kuwa Masturbation has no harm,acha kabisa...
ntajie ni kitabu gani na mstari......hii ni changamotoDah yaan nimeona had kwenye bible tu inasema na alaamiwe mpiga nyeto[emoji16][emoji16]ila wazee wa chaputa ukiwaambia hiv hawakuelew kabisaaa
ntajie ni kitabu gani na mstari......hii ni changamoto
Mkuu watu kama nyie nimewachapia sana madem wenu..Dah unajua nyie wanachama wa CHAPUTA ni wabishi sana ktk hili hasa mkiambiwa kuna madhara yake bas huwa mnatafuta sababu tu hata za ovyo ovyo ili kuupindisha ukweli mkuu[emoji16] ila kwa thread km hii lazima mbadilike bhana msituletee watoto goi goi bureee hapo bdae
Kwahiyo huyu mtafiti anataka kutuambia Bwana Mengi, Makamba Jr, Prof. Lipumba na wengine wengi hawa wote wanajichua maana hawana nywele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila sijaona neno "PUNYETO " mzee baba........ukinionyesha ntakuelewa.....Soma hapa na uchanganue km ww ni mkristo...
Wakolosai 3:5 Basi, vifisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi, uasherati, uchafu, tamaa mbaya, mawazo mabaya, na kutamani, ndiyo ibada ya sanamu;
__Cheusi_Dawa__[emoji276]
Kweli mkuu,ila kila nikijitahidi kuacha,naishia kurudia baada ya mwezi mmoja.Hahahahh..! Pole mkuu huu mchezo wa kijinga sana. Mimi ni dhambi moja kubwa iliyonikomalia muda ila sasa nimeamua kufanya restructure na Mungu naona nafanikiwa hakika ni ujinga na inaleta mikosi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hili lina ukweli asee,mambo hayasomeki kabisa.Aisei omba sana, inaleta mikosi mambo yako yataparaganyika mpk ushangae..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mbona kama unayasoma maisha yanguSerious punyeto inaleta mikosi uamini usiamini, kama hujapata kazi utapata taabu, kama una kazi pesa zako zitaishia kusikojulikana na kama mfanya biashara zitayumba mpaka ushangae, au mtu anakuwa mlevi maendeleo ndiyo basi.
Kila unalofanya linaenda kwashida au haliendi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah! Haya mambo ni ya kiroho zaidi ila amua na ufanye maamuzi magumu ingawa siyo rahisi ila ukihusianisha na maisha ya kipuuzi unayoishi utaacha, nakwambia maana nimepitia huku ila sasa nimeamua kusema kweli sirudii upuuzi huu, shetani atakutumikisha mpaka ushangae.
Alafu unapatwa na regression sana, utajitaa na kukata tamaa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujui ulisemalo..!Mnapenda sana kumtushia mafurushi ya makosa yenu shetani, punyeto upige wewe then uje kusema shetani anakutumikisha kweli
Sent using Jamii Forums mobile app