Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Mkuu uliyoandika ni ukweli mtupu,hata Kama watu watakupinga,mi nimeathirika na kuwa na hali ya kusahau sahau,pia nakuwa natokwa na jasho Kali wakati siku za nyuma sikuwa hivyo,punyeto ni mbaya sana,bora kuacha kabisa.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Fact. Tena in deep make hata ukiendekeza ngono kufa ni mapema
 
MKUU ume fikia wapi juu ya hili suala la nyeto umeweza acha kabisa au bado tia maji tia maji ?!
 
Mimi ni kijana ambae naishi mwenyewe kishikaji nina mademu wengi sana mpaka muda mwingne nawasahau wengne, na hakuna hata mmoja kati yao anayenicharge hela nikitaka kulala naye.

Sasa shida iliyopo ugonjwa wangu nyeto na ambayo huwa naipiga najilaumu mara mia ni asubuh mfano nikiamka sa moja mbaka nakuja kupees ni saa tatu huko mixa nipige zoez nijiandae unakuta inafika mpaka sanane, kitu ambacho natamani sana kuacha wakuu msaada wenu.
 
Siwezi kuisema vibaya punyeto ,haswa mimi binafsi inaniokoa mara nyingi kama mke wangu anaponinyima unyumba takribani siku 3 mpaka 4 huwa nalazimika kupiga punyeto ili nipate usingizi.


Madhara tuachane nayo tu ,
 
Wakuu, Sina mda wa salamu naenda Moja kwa Moja kwenye Maada

Binafsi nilikua mpiga nyeto mzuri sana, nimetumikishwa na Uraibu huu kwa Takribani miaka 12 kama yule Mwanamke aliyetokwa Damu miaka kumi na miwili kwenye biblia.
Mapambano yakujitoa kwenye huu Uraibu haikua kazi nyepesi.

Lakini sasa nakiri na kuutangazia umma kwamba Yesu mwana wa Daudi kanikomboa na kunitoa kutoka mateka ya mwovu ibilisi.

Naenda kufunga miaka 2 sasa pasina nyeto pia kiu yote imekata Hadi Kuna time najiuliza niliwezaje kufanya kitendo Cha kipumbavu hivi.

Lakini huu mchezo haukuniacha salama kabisa, nilipoteza nguvu kabisa na uwezo wa kushiriki tendo, Hali ambayo ilinipa wakati Mgumu kuliko unavoweza kufikilia.

Nimepoteza Fedha nyingi na kila nikisikia dawa ya nguvu za Kiume nilikua nikinunua, na bado sikuona matokeo.

Baadae nikakata tamaa kabisa ya kununua Dawa, maana sikuziamini tena.
lakini jambo kubwa nililobaki kulifanya ni kusoma machapisho na maandiko mbalimbali yanayozungumizia Jinsi ya kujenga Afya ya nguvu za Kiume na kurudia Hali yako asilia baada ya miaka mingi ya nyeto.
Ndipo nilipokutana na Article Moja ya kizungu na kuamua kuifanyia kazi;
Chapisho Hilo lilielekeza kufanya yafuatayo na umhimu wa kimoja Hadi kingine .
***
Nilianza kuamka asubuhi kila siku na mapema nakimbia 10km, Then nafanya mazoezi ya kegel ambayo nilikua nachukua muongozo wake YouTube

Then nikaacha kabisa kunywa chai Bali nikawa nasaga juice ya mchanganyiko huu kwenye Brenda

1 Shayiri(Oats)



Kipimo ni nusu kikombe kidogo Cha chai, kabla ya kuweka kwenye Brenda nilikua nahakikisha nimeloweka sio chini ya nusu saa ili iwe absolved.

2. Almond seeds




Nilikua naweka punje kati ya 5 Hadi 9 kwenye Brenda

3. Tende


Hapa nilihakikisha natoa kokwa ndani ya Tende. Nilitumia tende kati ya 5 Hadi 7

4 Ndivi mbivu


Ndizi Moja tu, nilikua nikiimenya na kuikata vipande vidogo ndani ya Brenda.

5 Tangawizi


Nilikua naimenya vizuri na kuikata vipande vidogo vidogo kwenye Brenda

6. Karanga

Vijiko vitatu Hadi vinne vya kula vya karanga niliweka ndani ya Brenda

7. Asali mbichi

Asali nyingi masokoni mijini, zinafanyiwa janja janja nyingi kwaio sio Bora kwa matumizi tiba. Binafsi asali naagiza kijijini kwa watu ninao aminiana nao, na huja ikiwa tofauti na hizi za masokoni. Nikiwa na maana nzito ukiiona tu utajua ni OG

Hivyo hapa niliweka Kijiko Cha kula kimoja na nusu Cha asali kwenye Brenda.

8. Chia seeds

Kijiko kimoja na nusu Cha kula, niliweka ndani ya Brenda

9. Korosho

Punye kati ya 5 Hadi 9

10. Mdalasini

Unga Kijiko Cha mezani kimoja Cha mdalasini niliweka kwenye Brenda

11. karafuu

Unga wa Karafuu Kijiko kimoja Cha mezani.

12. Maziwa flesh

maziwa flesh, yaliyochemshwa na kupoa vizuri. kama mbadala wa maji ila nilitumia maji pindi nilipokosa maziwa. Lakini mara nyingi nilitumia maziwa

13. Kipande Cha Apple


Hapa ni mara Moja Moja, Nilihusisha nusu apple, nilimenya vizuri na kuikata vipande vidogo vidogo.

14. Kahawa.

Si mara zote, ila mara kadhaa Nilihusisha Kijiko kimoja Cha mezani Cha Nescafe coffee.

Baada yakutimia ingredients izo zote niliwasha Brenda na kuacha zisagwe vizuri sana kwa Mda.
Your browser is not able to display this video.

Nilitumia mixture hio kama Breakfast na sikuhitaji chochote hadi mchana.

Katikati ya siku nilikunywa maji mengi sana, nikaachana na vinywaji vya kiwandani Mfano soda, Juice, na upande wa pombe Mimi sio mtumiaji kabisa.

Nikaachana na utumiaji wa Baadhi ya vyakula Mfano chipsi, Mayai ya kisasa, Ulaji wa Ngano sana.

Nilikula dinner mapema, then nilipata mda wa kulala mapema kwakua Majukumu yangu mengi niliyafanya katikati ya siku.

Na kabla ya kulala nilitumia punje 2 za Vitunguu swaumu na nilitafuna Tetere za Maboga.

Hili zoezi Lilikuwa endelevu siku zote na nikazoea

*********

Wakuu ni Ivi Mwili wangu ni kama umeongezeka nguvu (Energy) kwa kiasi kikubwa sana .

Yani Kuna fitness Fulani naihisi nimepata ambayo nashindwa kuelezea, sikua nayo awali.

Mwili umekuwa mchangamfu na flexible kila angle kwa Jinsi ambayo sijawahi kuona awali

Lakini kubwa kuliko ,,
Siku chache tu baada ya kuanza hii routine, niliona mabadiliko makubwa sana kwenye uume wangu.
Ulikua unakaza sana nyakati za usiku na asubuhi. Sometimes usiku uume unakaza Hadi nakosa usingizi.
Na pia Kuna nyakati, katikati ya siku uume unakaza sana Hadi natakiwa nizuge sehemu kama nilikua natembea ili utulie ndipo niendelee na shughuli zangu.

Katika kipindi kirefu kidogo Cha Nyuma niliachana hata na maswala ya wanawake kwasababu ni kama nilikua naenda kujidharirisha tu.

Wakuu, hivi sasa Hali Si shwali kabisa, kila nikikutana na Mwanamke Mimi ndo sifiki kileleni naachwa na Tamaa zangu.

Yani Napata shida sana ku score, hivyo inabidi niache tu, maana opponent wangu anakua tayari kashachoka na kaomba poo zakutosha .
Kinachonishangaza hata mshindo wa kwanza sometimes sifiki na tayar opponent kashatupa Taulo kwaio inabidi niache tu.

Na sometimes natupiwa lawama eti natumia micongo kabla ya kukutana nao.
Yani uume unasimama mithiri ya nondo, unatoa misuri hatari.

Ile routine yangu kwasasa nimeachana nayo kwa mda lakini bado hakuna kinachobadilika,
Yani kama ni silaha basi nahisi sio bomu Bali nilitengeneza nuclear weapon, ambayo baada ya kulipuka inazidi kula generation.
 
Bwana wee kujichukulia sheria mkononi Mara moja moja itatosha kuliko kuhangaika na gonorea huko.
 
Wakuu,
Wote mnanifahamu humu jukwaani siishiwi pilika za mapenzi.

Bwana ee,baada ya kufeli kupata mke humu jukwaani,baada ya kugaili kumuoa yule binti aliyekuwa 'anafosi' nimuoe,

Nimejikuta nikidumbukia katika dimbwi la nyeto,nyeto napiga sana,asubuhi na jioni kila siku,

Baadae nimejikuta nikipenda sana kuangalia porn videos,yan ukinikuta kazini kwangu,hence mm ni manager wa certain company,nime mute simu nacheki za kiratini,amerika,wazungu,kichina na black hub

Je kupiga nyeto na kuangalia porn kipi kina madhara, kama vina madhara vyote,nawezaje kuepukana na hali hii? Mallerina
 
Madhara makubwa sana stop it please unahitaji counseling ya kutosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…