Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Mimi Binafsi nilianza kupiga hii Kitu miaka ya 2009 kisa ni zile story zinazopatikana kwenye magazeti ya Sun ya kipindi kile. Nikawa hata nikimtia dem lazima nimalizie na Puchu moja ndiyo nakua nmeridhika. Ila nikawa naona mabadiliko kidogo sana ikiwemo:-
  • uwezo wa kushika vitu kichwani ukapungua sana, (napoteza kumbukumbu ndani ya dakika chache sana hazizidi mbili)
  • uwezo wa kuongea mbele za watu ukayeyuka (nilikua na uwoga sana kuongea mbele za watu),
  • nikawa napatwa na hali ya Kuchapia nikiwa naongea yaani hata kama naongea sentensi fupi tu nachapia,
  • nikiwa namtia mwanamke siwezi kukojoa mpaka nimfikirie dem wa kwenye magazeti (wema, uwoya, masogange nk),
  • mashine kuchelewa kusimama na ikisimama hata ikikojoa hailali mpaka nipige nyeto,
  • kuanza kunuka Vikwapa hata nikioga yaani likitoka jasho kidogo tu linanuka kwapani vibaya mno
  • nikiwa geto peke yangu bila kujali muda nawaza kupiga nyeto tu na lazima nitapiga.


Hata baada ya kuoa miaka ya elfu mbili na kumi na kitu nilikua naendelea kupiga nyeto, mpaka ilipofika mwaka 2020 nikaacha baada ya kuona madhara ya kisaikolojia yalikua yananizidia yaani nilikua napoteza kumbukumbu, uwezo wa kuongea maneno kwa mpangilio mbele ya Viongozi wangu ulipungua yaani ni kama nilikua naelekea kwenye UCHIZI.
Nikaacha hiyo kitu mwaka 2020 mwezi wa Nane na mpaka leo hii sijapiga kabisa na ninaendelea kuimarika hasa kwenye kumbukumbu, uwezo wa Kujiamini, LAKINI HAKUNA MADHARA YA KULEGEA UUME ENDAPO NAKUTANA NA MWANAMKE ANAYENIVUTIA.
Mkuu uliyoandika ni ukweli mtupu,hata Kama watu watakupinga,mi nimeathirika na kuwa na hali ya kusahau sahau,pia nakuwa natokwa na jasho Kali wakati siku za nyuma sikuwa hivyo,punyeto ni mbaya sana,bora kuacha kabisa.

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Ayo ni matatizo yako binafsi Nyeto umeitumia tu imekuwa nyezo tu ya kuongeza ayo matatizo yako.

Binafsi napiga nyeto tangia 2010 na niko mentally and physically fit. Nyeto ni nature ya wanyama wengi kujishika shika pale anakuwa ana hisia akiendelea kujishika lazima amwage. Ko ni nature iyo

Lakini umepewa akili Fanya jambo kwa kiasi, kula vizur, tunza afya yako. Kama unapiga nyeto basi piga kwa kiasi na kama unafanya ngona kadhalika fanya kwa kiasi

Uku duniani kila kitu kina madhara kutokana na mtu mtu na namna unavokitumia, ndo maana wewe unatumia sukari haikuletei shida ila kuna mtu amemyimwa kutumia sukari. Lkn haifanyi Sukari iwe mbaya kisa wewe imekuletea madhara wengine wataendelea kutumia kwa kiasi kinachotakiwa na wasipate madhara yeyote
Fact. Tena in deep make hata ukiendekeza ngono kufa ni mapema
 
Miaka karibu ishirini iliyopita kipindi nilipobalehe siku moja nikiwa bafuni naoga nilisikia sauti ya dada mmoja wa jirani akiongea na wenzake na kucheka ktk hali isiyo ya kawaida nikamtamani na kuanza kuvuta hisia nikifanya naye mapenzi na kwa mara ya kwanza nikaanza kupinga punyeto, ukawa ni mwanzo wa safari ambayo imenifikisha sehemu nisiyotamani kabisa kuwepo.

Kama kuna wengine hili kwao halina madhara basi kwa upande wangu limekuwa tatizo kubwa sababu tangia hapo ukawa ni mchezo wa almost kila siku, nikimwona mdada yuko nusu uchi hata kwenye tv mm tamaa inawaka najimaliza kwa punyeto. Wadada wa bongo movie wengi sana nimeshawapigia punyeto yaani nikiona tu mapaja au chupi tu kwangu ni tatizo moyo unaenda speed lazima nipige punyeto.

Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na vijarida vinaandika story za picha za mapenzi nilikuwa navinunua usiku navitumia kuvuta hisia huku napiga punyeto. Kwa sasa almost kila siku niko xvideos napakua video za porn za kila aina nikiwa naangalia namaliza hapo hapo, najisikia hatia nafuta video zote ila kesho yake nazipakua nyingine mchezo unaendelea, nimeshatuma sana elfu tano tano kwa wadada ili wanitumie picha zao na video zao za uchi au sometime kufanya sex video call.

Nimetamani sana kuacha, nimeomba na kuombewa lkn bado, nimejiwekea resolutions mara nyingi ya kuwa sasa naacha, nitajitahidi kujizuia kwa muda kama wiki mbili au tatu baada ya hapo narudi tena kwa nguvu mpya yaani ni kama nakuwa nakusanya nguvu tu ya kurudia upya na hasa kwa kuwa mara nyingi mawazo ya kuacha porn&punyeto huja baada ya kufanya punyeto kwa siku mfululizo so nahisi mwili huwa umechoka/kukaukiwa hivyo akili inakuwa imekaa sawa, ila zikishaongezeka tu mwili unaanza kusukuma kutafuta porn video na kupiga punyeto.

Kuna kipindi smartphone iliharibika nikawa natumia kitochi hapo ndio nilikaa kama miezi 3 kwa sababu sikuwa na means ya kuangalia porn, ila siku nilipopata tu smartphone nilikaa kama wiki mchezo ukaanza upya. Nikiwasha data huwa najisemea leo siingii xvideos so nitaperuzi vitu vingine ila mawazo yatanisukuma tu kwenda xvideos tatizo nikiaanza kuzipakua hadi kuja kumaliza na mwishowe kupiga punyeto mwili na akili vimechoka.

Binafsi hiki kifungo na hizi tabia zimenichosha sana na yako mambo ktk maisha yangu nayaona sasa naamini yako linked na hizi tabia, mimi ni mvivu hasa wa kutenda mambo, nimekuwa mwoga mwoga hivi, muda naotumia kuangalia na kupakua porn kama ningekuwa nautumia ktk mambo ya maana naamini ningekuwa ningepiga hatua zaidi ya niliyopo sasa.

Jana nimeangalia porn mpaka nikakosa kitu cha kuangalia maana vyote nimeshaviangalia mpaka intrest imeisha na hili nalo likanipa hofu sana hadi nikajiuliza kama nimejisikia hivi, nini kitafuata? Ninaamini hii ni ishara nyingine kuwa inabidi nitoke kwenye hili shimo nililoingia.

Nimeishi maisha yenye sura mbili kwa miaka yote hii na sasa natamani niishi maisha ya aina moja yaliyo safi, kuna watu wananiheshimu sana na kuniona mtu wa maana na muhimu sana hata kunishirikisha mambo yao mazito mazito ili niwashauri, huwa najisemea tu kuwa hawajui kuwa mm ni mchafu zaidi yao, ni dhaifu zaidi yao na si msafi kama wanionavyo nje na hili linanisumbua sana natamani niishi maisha safi nje na ndani.

Wale mliowahi kupambana mkashinda ktk changamoto kama hizi naomba ushauri, maana nimedhamiria kabisa kuwa siku ya jana tarehe 05/09/2019 ndio iwe siku ya mwisho ya kupiga punyeto na kujihusisha na pornography na ninaamini "one day at a time" nitafanikiwa.

Natanguliza shukrani kwa ushauri na support nitakayopata hapa.
MKUU ume fikia wapi juu ya hili suala la nyeto umeweza acha kabisa au bado tia maji tia maji ?!
 
Mimi ni kijana ambae naishi mwenyewe kishikaji nina mademu wengi sana mpaka muda mwingne nawasahau wengne, na hakuna hata mmoja kati yao anayenicharge hela nikitaka kulala naye.

Sasa shida iliyopo ugonjwa wangu nyeto na ambayo huwa naipiga najilaumu mara mia ni asubuh mfano nikiamka sa moja mbaka nakuja kupees ni saa tatu huko mixa nipige zoez nijiandae unakuta inafika mpaka sanane, kitu ambacho natamani sana kuacha wakuu msaada wenu.
 
Siwezi kuisema vibaya punyeto ,haswa mimi binafsi inaniokoa mara nyingi kama mke wangu anaponinyima unyumba takribani siku 3 mpaka 4 huwa nalazimika kupiga punyeto ili nipate usingizi.


Madhara tuachane nayo tu ,
 
Wakuu, Sina mda wa salamu naenda Moja kwa Moja kwenye Maada

Binafsi nilikua mpiga nyeto mzuri sana, nimetumikishwa na Uraibu huu kwa Takribani miaka 12 kama yule Mwanamke aliyetokwa Damu miaka kumi na miwili kwenye biblia.
Mapambano yakujitoa kwenye huu Uraibu haikua kazi nyepesi.

Lakini sasa nakiri na kuutangazia umma kwamba Yesu mwana wa Daudi kanikomboa na kunitoa kutoka mateka ya mwovu ibilisi.

Naenda kufunga miaka 2 sasa pasina nyeto pia kiu yote imekata Hadi Kuna time najiuliza niliwezaje kufanya kitendo Cha kipumbavu hivi.

Lakini huu mchezo haukuniacha salama kabisa, nilipoteza nguvu kabisa na uwezo wa kushiriki tendo, Hali ambayo ilinipa wakati Mgumu kuliko unavoweza kufikilia.

Nimepoteza Fedha nyingi na kila nikisikia dawa ya nguvu za Kiume nilikua nikinunua, na bado sikuona matokeo.

Baadae nikakata tamaa kabisa ya kununua Dawa, maana sikuziamini tena.
lakini jambo kubwa nililobaki kulifanya ni kusoma machapisho na maandiko mbalimbali yanayozungumizia Jinsi ya kujenga Afya ya nguvu za Kiume na kurudia Hali yako asilia baada ya miaka mingi ya nyeto.
Ndipo nilipokutana na Article Moja ya kizungu na kuamua kuifanyia kazi;
Chapisho Hilo lilielekeza kufanya yafuatayo na umhimu wa kimoja Hadi kingine .
***
Nilianza kuamka asubuhi kila siku na mapema nakimbia 10km, Then nafanya mazoezi ya kegel ambayo nilikua nachukua muongozo wake YouTube

Then nikaacha kabisa kunywa chai Bali nikawa nasaga juice ya mchanganyiko huu kwenye Brenda

1 Shayiri(Oats)

19 Best Home Remedies For Itchy Skin (Pruritus).jpeg


Kipimo ni nusu kikombe kidogo Cha chai, kabla ya kuweka kwenye Brenda nilikua nahakikisha nimeloweka sio chini ya nusu saa ili iwe absolved.

2. Almond seeds

Almonds (1).jpeg



Nilikua naweka punje kati ya 5 Hadi 9 kwenye Brenda

3. Tende

Kurma.jpeg

Hapa nilihakikisha natoa kokwa ndani ya Tende. Nilitumia tende kati ya 5 Hadi 7

4 Ndivi mbivu

c5df2535-c45a-4bb6-97e4-8fac85bc71d3.jpeg

Ndizi Moja tu, nilikua nikiimenya na kuikata vipande vidogo ndani ya Brenda.

5 Tangawizi
Fresh Organic Ginger-multiple benefits - spices.jpeg


Nilikua naimenya vizuri na kuikata vipande vidogo vidogo kwenye Brenda

6. Karanga
Premium Photo _ Peeled peanuts in bowl and scoop on gray surface_ top view of nuts.jpeg

Vijiko vitatu Hadi vinne vya kula vya karanga niliweka ndani ya Brenda

7. Asali mbichi
How To Properly Store Honey, Before & After Opening A Jar.jpeg

Asali nyingi masokoni mijini, zinafanyiwa janja janja nyingi kwaio sio Bora kwa matumizi tiba. Binafsi asali naagiza kijijini kwa watu ninao aminiana nao, na huja ikiwa tofauti na hizi za masokoni. Nikiwa na maana nzito ukiiona tu utajua ni OG

Hivyo hapa niliweka Kijiko Cha kula kimoja na nusu Cha asali kwenye Brenda.

8. Chia seeds
download.jpeg

Kijiko kimoja na nusu Cha kula, niliweka ndani ya Brenda

9. Korosho
Sri Lankan cashewnut curry.jpeg

Punye kati ya 5 Hadi 9

10. Mdalasini
Simply Recipes Guide To Cinnamon_ Origins and How To Use It Whole Stick and Ground.jpeg

Unga Kijiko Cha mezani kimoja Cha mdalasini niliweka kwenye Brenda

11. karafuu
garden garden design garden ideas gardening garden wedding garden decor garden decoration gar...jpeg

Unga wa Karafuu Kijiko kimoja Cha mezani.

12. Maziwa flesh
milk.jpeg

maziwa flesh, yaliyochemshwa na kupoa vizuri. kama mbadala wa maji ila nilitumia maji pindi nilipokosa maziwa. Lakini mara nyingi nilitumia maziwa

13. Kipande Cha Apple
collect❤️.jpeg


Hapa ni mara Moja Moja, Nilihusisha nusu apple, nilimenya vizuri na kuikata vipande vidogo vidogo.

14. Kahawa.
15c43d06-71a5-4990-a8b8-bff0595e2c25.jpeg

Si mara zote, ila mara kadhaa Nilihusisha Kijiko kimoja Cha mezani Cha Nescafe coffee.

Baada yakutimia ingredients izo zote niliwasha Brenda na kuacha zisagwe vizuri sana kwa Mda.

Nilitumia mixture hio kama Breakfast na sikuhitaji chochote hadi mchana.

Katikati ya siku nilikunywa maji mengi sana, nikaachana na vinywaji vya kiwandani Mfano soda, Juice, na upande wa pombe Mimi sio mtumiaji kabisa.

Nikaachana na utumiaji wa Baadhi ya vyakula Mfano chipsi, Mayai ya kisasa, Ulaji wa Ngano sana.

Nilikula dinner mapema, then nilipata mda wa kulala mapema kwakua Majukumu yangu mengi niliyafanya katikati ya siku.

Na kabla ya kulala nilitumia punje 2 za Vitunguu swaumu na nilitafuna Tetere za Maboga.

Hili zoezi Lilikuwa endelevu siku zote na nikazoea

*********

Wakuu ni Ivi Mwili wangu ni kama umeongezeka nguvu (Energy) kwa kiasi kikubwa sana .

Yani Kuna fitness Fulani naihisi nimepata ambayo nashindwa kuelezea, sikua nayo awali.

Mwili umekuwa mchangamfu na flexible kila angle kwa Jinsi ambayo sijawahi kuona awali

Lakini kubwa kuliko ,,
Siku chache tu baada ya kuanza hii routine, niliona mabadiliko makubwa sana kwenye uume wangu.
Ulikua unakaza sana nyakati za usiku na asubuhi. Sometimes usiku uume unakaza Hadi nakosa usingizi.
Na pia Kuna nyakati, katikati ya siku uume unakaza sana Hadi natakiwa nizuge sehemu kama nilikua natembea ili utulie ndipo niendelee na shughuli zangu.

Katika kipindi kirefu kidogo Cha Nyuma niliachana hata na maswala ya wanawake kwasababu ni kama nilikua naenda kujidharirisha tu.

Wakuu, hivi sasa Hali Si shwali kabisa, kila nikikutana na Mwanamke Mimi ndo sifiki kileleni naachwa na Tamaa zangu.

Yani Napata shida sana ku score, hivyo inabidi niache tu, maana opponent wangu anakua tayari kashachoka na kaomba poo zakutosha .
Kinachonishangaza hata mshindo wa kwanza sometimes sifiki na tayar opponent kashatupa Taulo kwaio inabidi niache tu.

Na sometimes natupiwa lawama eti natumia micongo kabla ya kukutana nao.
Yani uume unasimama mithiri ya nondo, unatoa misuri hatari.

Ile routine yangu kwasasa nimeachana nayo kwa mda lakini bado hakuna kinachobadilika,
Yani kama ni silaha basi nahisi sio bomu Bali nilitengeneza nuclear weapon, ambayo baada ya kulipuka inazidi kula generation.
 
Bwana wee kujichukulia sheria mkononi Mara moja moja itatosha kuliko kuhangaika na gonorea huko.
 
Wakuu,
Wote mnanifahamu humu jukwaani siishiwi pilika za mapenzi.

Bwana ee,baada ya kufeli kupata mke humu jukwaani,baada ya kugaili kumuoa yule binti aliyekuwa 'anafosi' nimuoe,

Nimejikuta nikidumbukia katika dimbwi la nyeto,nyeto napiga sana,asubuhi na jioni kila siku,

Baadae nimejikuta nikipenda sana kuangalia porn videos,yan ukinikuta kazini kwangu,hence mm ni manager wa certain company,nime mute simu nacheki za kiratini,amerika,wazungu,kichina na black hub

Je kupiga nyeto na kuangalia porn kipi kina madhara, kama vina madhara vyote,nawezaje kuepukana na hali hii? Mallerina
 
Wakuu,
Wote mnanifahamu humu jukwaani siishiwi pilika za mapenzi.

Bwana ee,baada ya kufeli kupata mke humu jukwaani,baada ya kugaili kumuoa yule binti aliyekuwa 'anafosi' nimuoe,

Nimejikuta nikidumbukia katika dimbwi la nyeto,nyeto napiga sana,asubuhi na jioni kila siku,

Baadae nimejikuta nikipenda sana kuangalia porn videos,yan ukinikuta kazini kwangu,hence mm ni manager wa certain company,nime mute simu nacheki za kiratini,amerika,wazungu,kichina na black hub

Je kupiga nyeto na kuangalia porn kipi kina madhara, kama vina madhara vyote,nawezaje kuepukana na hali hii? Mallerina
Madhara makubwa sana stop it please unahitaji counseling ya kutosha!
 
Back
Top Bottom