Wakuu, Sina mda wa salamu naenda Moja kwa Moja kwenye Maada
Binafsi nilikua mpiga nyeto mzuri sana, nimetumikishwa na Uraibu huu kwa Takribani miaka 12 kama yule Mwanamke aliyetokwa Damu miaka kumi na miwili kwenye biblia.
Mapambano yakujitoa kwenye huu Uraibu haikua kazi nyepesi.
Lakini sasa nakiri na kuutangazia umma kwamba Yesu mwana wa Daudi kanikomboa na kunitoa kutoka mateka ya mwovu ibilisi.
Naenda kufunga miaka 2 sasa pasina nyeto pia kiu yote imekata Hadi Kuna time najiuliza niliwezaje kufanya kitendo Cha kipumbavu hivi.
Lakini huu mchezo haukuniacha salama kabisa, nilipoteza nguvu kabisa na uwezo wa kushiriki tendo, Hali ambayo ilinipa wakati Mgumu kuliko unavoweza kufikilia.
Nimepoteza Fedha nyingi na kila nikisikia dawa ya nguvu za Kiume nilikua nikinunua, na bado sikuona matokeo.
Baadae nikakata tamaa kabisa ya kununua Dawa, maana sikuziamini tena.
lakini jambo kubwa nililobaki kulifanya ni kusoma machapisho na maandiko mbalimbali yanayozungumizia Jinsi ya kujenga Afya ya nguvu za Kiume na kurudia Hali yako asilia baada ya miaka mingi ya nyeto.
Ndipo nilipokutana na Article Moja ya kizungu na kuamua kuifanyia kazi;
Chapisho Hilo lilielekeza kufanya yafuatayo na umhimu wa kimoja Hadi kingine .
***
Nilianza kuamka asubuhi kila siku na mapema nakimbia 10km, Then nafanya mazoezi ya kegel ambayo nilikua nachukua muongozo wake YouTube
Then nikaacha kabisa kunywa chai Bali nikawa nasaga juice ya mchanganyiko huu kwenye Brenda
1 Shayiri(Oats)
Kipimo ni nusu kikombe kidogo Cha chai, kabla ya kuweka kwenye Brenda nilikua nahakikisha nimeloweka sio chini ya nusu saa ili iwe absolved.
2. Almond seeds
Nilikua naweka punje kati ya 5 Hadi 9 kwenye Brenda
3. Tende
Hapa nilihakikisha natoa kokwa ndani ya Tende. Nilitumia tende kati ya 5 Hadi 7
4 Ndivi mbivu
Ndizi Moja tu, nilikua nikiimenya na kuikata vipande vidogo ndani ya Brenda.
5 Tangawizi
Nilikua naimenya vizuri na kuikata vipande vidogo vidogo kwenye Brenda
6. Karanga
Vijiko vitatu Hadi vinne vya kula vya karanga niliweka ndani ya Brenda
7. Asali mbichi
Asali nyingi masokoni mijini, zinafanyiwa janja janja nyingi kwaio sio Bora kwa matumizi tiba. Binafsi asali naagiza kijijini kwa watu ninao aminiana nao, na huja ikiwa tofauti na hizi za masokoni. Nikiwa na maana nzito ukiiona tu utajua ni OG
Hivyo hapa niliweka Kijiko Cha kula kimoja na nusu Cha asali kwenye Brenda.
8. Chia seeds
Kijiko kimoja na nusu Cha kula, niliweka ndani ya Brenda
9. Korosho
Punye kati ya 5 Hadi 9
10. Mdalasini
Unga Kijiko Cha mezani kimoja Cha mdalasini niliweka kwenye Brenda
11. karafuu
Unga wa Karafuu Kijiko kimoja Cha mezani.
12. Maziwa flesh
maziwa flesh, yaliyochemshwa na kupoa vizuri. kama mbadala wa maji ila nilitumia maji pindi nilipokosa maziwa. Lakini mara nyingi nilitumia maziwa
13. Kipande Cha Apple
Hapa ni mara Moja Moja, Nilihusisha nusu apple, nilimenya vizuri na kuikata vipande vidogo vidogo.
14. Kahawa.
Si mara zote, ila mara kadhaa Nilihusisha Kijiko kimoja Cha mezani Cha Nescafe coffee.
Baada yakutimia ingredients izo zote niliwasha Brenda na kuacha zisagwe vizuri sana kwa Mda.
Nilitumia mixture hio kama Breakfast na sikuhitaji chochote hadi mchana.
Katikati ya siku nilikunywa maji mengi sana, nikaachana na vinywaji vya kiwandani Mfano soda, Juice, na upande wa pombe Mimi sio mtumiaji kabisa.
Nikaachana na utumiaji wa Baadhi ya vyakula Mfano chipsi, Mayai ya kisasa, Ulaji wa Ngano sana.
Nilikula dinner mapema, then nilipata mda wa kulala mapema kwakua Majukumu yangu mengi niliyafanya katikati ya siku.
Na kabla ya kulala nilitumia punje 2 za Vitunguu swaumu na nilitafuna Tetere za Maboga.
Hili zoezi Lilikuwa endelevu siku zote na nikazoea
*********
Wakuu ni Ivi Mwili wangu ni kama umeongezeka nguvu (Energy) kwa kiasi kikubwa sana .
Yani Kuna fitness Fulani naihisi nimepata ambayo nashindwa kuelezea, sikua nayo awali.
Mwili umekuwa mchangamfu na flexible kila angle kwa Jinsi ambayo sijawahi kuona awali
Lakini kubwa kuliko ,,
Siku chache tu baada ya kuanza hii routine, niliona mabadiliko makubwa sana kwenye uume wangu.
Ulikua unakaza sana nyakati za usiku na asubuhi. Sometimes usiku uume unakaza Hadi nakosa usingizi.
Na pia Kuna nyakati, katikati ya siku uume unakaza sana Hadi natakiwa nizuge sehemu kama nilikua natembea ili utulie ndipo niendelee na shughuli zangu.
Katika kipindi kirefu kidogo Cha Nyuma niliachana hata na maswala ya wanawake kwasababu ni kama nilikua naenda kujidharirisha tu.
Wakuu, hivi sasa Hali Si shwali kabisa, kila nikikutana na Mwanamke Mimi ndo sifiki kileleni naachwa na Tamaa zangu.
Yani Napata shida sana ku score, hivyo inabidi niache tu, maana opponent wangu anakua tayari kashachoka na kaomba poo zakutosha .
Kinachonishangaza hata mshindo wa kwanza sometimes sifiki na tayar opponent kashatupa Taulo kwaio inabidi niache tu.
Na sometimes natupiwa lawama eti natumia micongo kabla ya kukutana nao.
Yani uume unasimama mithiri ya nondo, unatoa misuri hatari.
Ile routine yangu kwasasa nimeachana nayo kwa mda lakini bado hakuna kinachobadilika,
Yani kama ni silaha basi nahisi sio bomu Bali nilitengeneza nuclear weapon, ambayo baada ya kulipuka inazidi kula generation.