Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Yani nyie watu mna matatizo kweli. Yani mnatushauri jinsi ya kuacha nyeto na wakati bado na nyie ni wale wale wapiga nyeto?
 
hahaha siku moja nikiwa advance usiku nilibanwa sana na genye nikapiga ponyeto usiku huo, nilivomaliza tu tumbo likaanza kuniuma balaa baada ya masaa kadhaa nikaanza kuhara usiku ule niliharisha kama mtu mwenye HIV, yaani ilikuwa mharo na mimi, mimi na mharo... hii hali ilienda kama siku2 hivi then ikakataka.... ikawa mwanzo na mwisho kupiga punyeto
ukiamua utaweza kuanza maisha mapya
Mzee baba hapo kwenye kuharisha unatuletea mambo ya mzee wetu Abunuwasi...😂😂😂 hiyo ilikuwa Food Poisoning siyo nyeto 😎
 
punyeto ni starehe we unaifanya kama hobi chukua nzi weka kwenye mfuko wa nailoni funga kwenye dushe raha yake haijawai kutokea
😂😂 siye twamtoa mabawa halafu twamweka kwenye kichwa kilichopakwa povu, basi akimaliza SAFARI zake na siye tumemaliza ya KWETU 😁
 
Piga nyeto usiogope mtu yeyote, raha jipe mwenyewe, Faida za nyeto 1. Huta ambiwa sina nauli, 2. Huta ambiwa kodi imeisha,3. huta ambiwa niunge bando, 4. huto ambiwa ninashida na laki, 5. Hutaombwa hela ya saluni
[emoji4][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji4][emoji3][emoji3][emoji4][emoji4][emoji3][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3][emoji4][emoji3]
 
BEHOLD, [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji3][emoji3]cherokee ,mz booty na alycia star ni wayaaaaa hiyo mimama lkn wenye chama tunajijua vizuri ila mm nishaacha jamaa apambane tu hiyo hali ya kawaida saan
 
Acha kabisa nilifutaga app zote za kugoogle kweny simu haikuwezekana nikauzaga simu pia haikuwezekana nilifanya njia kibao mpaka kuna kipind nilimuita mdogo angu niishi nae pale home labda kukaa mwenyew ilichangia pia haikuwezekana kuacha

Yan ilifika hatua nikiingia chumban kwangu tu nikiona mafuta juu ya dressn table nawaza kukitupa ilikuwa nikiangalia video nikiona kitu cha kunitamanisha lazma nifanye ilikuwa nikiperuz kwenye simu nikaona picha yoyote inayo shawish nitaishia kuangalia porn na kula mkono

Ila ni mwez wa 7 unakatiza sasa sijakitupa na ninaichukia nyeto kwa moyo wote nimeweka niya ya dhati kuacha na nimeweza na nipo huru sana. Kabla ya kuomba ushauri weka nia ya dhati na jitoe kwenye vile vitu vinavyo leta akshi mfano page za instagram au facebook na kwngne usijiweke karibu na mambp hayo utafanikiwa
 
Hili Jambo Ni tatizo kwa wengi Sana, wengi tumebaki kuwa mateja ktk hili!!

Mi nilianza nikiwa advance Tena sikufundishwa na mtu yeyote nimejaribu Sana kuacha laki nimeshindwa Ila Sasa Ninaimani kubwa Sana yakuacha ndio, naamini nitaacha na mishaanza mipango na naona mwendo mzuri kabisa!!
Nimefanya njia nyingi Sana na za hatari kuacha lakini nilishindwa!!

1) nilipoona nafanya Sana afu kuacha siwezi basi nikachukua wembe nikajichanja uume wote ili vidonda vizuie nisishike uume na kufanya punyeto, vilipo pona tu nikajikuta nimerudi Tena!!

2) Kufunga uume wote na plasta funga nikaacha kichwa tu kwaajili ya kukojoa lakini njia hii pia haikuzaa matunda nayo!!

Katika yote nashukuru Mungu na nazidi kuomba anitoe ktk hili shimo, Maana miaka 7 si mchezo!! Wakati mwingine naona bila punyeto labda ningekuwa nishapata UKIMWI au ningekuwa jela kwa kubaka!
 
Back
Top Bottom