Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Pole sana, utaacha tu sababu unania ila lini ndio haijulikani. Haka kamtego ni balaa mi pia kalinisumbuaga sana ikawa kila new yeat naweka resolution ya kuacha ila kesho yake tu narudia. Nlipofika form three nikajikuta tu nimeacha maana nilianzaga std 7 baada ya kuangaliaga jarida la ngono
Chama kinakuhitaji sana rudi haraka
 
if cap fits,

Yes, this is it. Mwanadamu mdhambi kamwe hawezi kuacha dhambi fulani au udhaifu fulani bila ya msaada wa Mungu.

Hali aliyonayo jamaa ni kukiri tu udhaifu wake mbele za Mungu na amuombe Mungu aingilie kati ktk hili. Hakika atavuka hiki kizingiti.
 
Pole kwa hilo tatizo mkuu. Nitakusaidia uache hiyo kitu, ni rahisi sana kuacha brother. Kuna vitu vichache sana nikikuelekeza na ukifanyia kazi utaacha kabisa.

Wengi wanapata taabu kwenye hiyo issue kwa ajiri ya kuwa na oicha kamili ya identity yao... Pole sana brother.

Uje PM kama upo serious
Uje PM kama upo serious kuacha.
Mkuu weka hapa kila kitu. Mimi pia nataka kuacha hiki kifungo
 
DAAH MKUU POLE SANA NASIKIA NI NGUMU SANA KUACHA ILA UKIWEKA NIA NA KIAPO THABITI UTAFANIKIWA
Mkuu hata ukiweka viapo ni bure tuu. Mi nakumbuka nilishaapa nakusema ( kuanzia leo naacha nyeto na siku nikipiga nife, lakini huwezi amini baada ya masaa mawili niliungurumisha punyeto balaaa. Yani yani yaniiii!!!!
 
Kivip mkuu
Unasema umeombewa ila tatizo halijaisha basi habari njema inakufikia siku ya leo, wiki iliyopita nikiwa natembea nyikani nikasikia sauti ikisema, "Jipu tazama mbele yako kuna nini?" Nikajibu fimbo, sauti ikasema, "iokote fimbo iyo, nawe utaenda nayo popote ukihubiri neno langu, na kwa fimbo hii wote utakao wachapa viboko kwa fimbo hii watapata wokovu."
Leo ni siku ya sita watu wanapata wokovu, nimechapa viboko vya upako wezi, majambazi, walevi, wazinzi, wagonjwa na wote wamepata uponyaji. Nakusihi njoo na wewe nikutandike viboko vitano vya upako tatizo lako litaisha.
 
Kila ukijihisi unataka kufanya jiulize haya maswali;
1) What for?
2) Kama sio leo nitaacha lini?
Halafu jiambie; Mimi sio dhaifu kiasi hiki.
Kwangu imenisaidia, nilikua muhanga ila nikaacha. Kila la heri mkuu.
Asante sana mkuu.
Msemo wa penye nia pana nji, umefanya kazi kwa hii case yangu.

Kwa kuwa nilionyesha nia ya kuachana na hii kitu nashukuru wengi pamoja na wewe mmenionyesha njia mimi binafsi na wengine ambao pia hii kitu inawasumbua na wanataka kuachana nayo kabisa.
 
Funga,sali mlilie Mungu wako akutoe katika hili janga maana litakupeleka shimoni.Kuna hatari kubwa hata ya kujikaribishia majini mahaba pasipo kujua.Na majini mahaba yanapomuingia mtu kumtoka si kazi rahisi aisee.Alafu kingine upende kufanya mazoezi yatakuweka busy na kukufanya usifikirie kujichua kila mara.
rafiki haujawahi kutoa ushauri mbaya toka mwaka juzu uliponishauri kuhusu betting leo tena nimekuona japo kwa ID tofauti leo tumekutana.
 
Kaa mbali na smartphone maana ndo chanzo kikubwa cha kuangalia pornography
 
Tatizo ni kwamba mnabeba vyuma halafu mnaenda kupiga punyeto,mtu anapiga punyeto kama anafua nguo,madhara yanakuwepo tu,hasa pale hisia zinapokupeleka kwa mwanamke ambaye ni mwl wa hesabu
 
Back
Top Bottom