Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Dirisha la Jirani,
Kwanza nikupe pole sana kwa tatizo hilo.
1. Ni tatizo la kisaikolojia linatakiwa kutatuliwa kisaikolojia.
2. Kufanya punyeto ni aina ya wengi au kichaa kinachompa ya mtu kwa nguvu ya emotional. Kwanini ni kichaa mfano mkubwa ni huu kama ilivyorahisi mtu kujitekenya mwenyewe akacheka. Kama atacheka ni kichaa ndiyo ilivyo kwa mpiga punyeto ambaye huwa na Mwanamke mbele yake aliyekuwepo kiuhalisia na akaweza kufika kileleni, hicho ni kichaa. Ili kuthibitisha hili CCTV inaweza kukufanya ukaamua kuacha kabisa mambo hayo. Maana yangu ni kuwa kama mtu akikutekodi kisirisiri na kesho yake akakupatia picha yako ukajiangalia ilivyokuwa unafanya kamwe hutarejea kufanya tena kwani utauona wehu wako LIVE.