Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

tatizo mnakuza sana matatizo.

wewe nani aliishakukataza kupanda hata daladala kisa unapiga punyeto?
 
Mkuu, hili ni ombi langu kwa Mungu kila siku anibadilishe, ndio najitafuta nakosea wapi mbona sipati matokeo.

Nausikilizaga wimbo wa Goodluck Gozbert ule ujumbe unanihusu kwa asilimia kubwa sana.
Mkuu sio unasali dk 5 umemaliza, ikiwezekana funga kabisa

Ukifunga na kusali huwezi waza hizo vitu jaribu kwa one week lazima matokeo uone pale unapokaa na njaa unautiisha mwili

Ukihitaji mwongozo wa maombi nitakupatia
 
kama ina make sense vilee [emoji848][emoji848]
Kama vipi uza smartphone kama huna matumizi ya muhimu sana, na kama unakitu cha muhimu na simu yako kinachohitaji mtandao, nenda Internet cafe mbona zamani mtu Huna smartphone na maisha yalikuwa yanaenda na kazi zinaenda?
 
Mkuu sio unasali dk 5 umemaliza, ikiwezekana funga kabisa

Ukifunga na kusali huwezi waza hizo vitu jaribu kwa one week lazima matokeo uone pale unapokaa na njaa unautiisha mwili

Ukihitaji mwongozo wa maombi nitakupatia
Ukinipatia huo mwongozo nitashukuru sana sana.
 
Pole sana kijana, naona tunaelekea kukupoteza, kwa hatua uliyofikia ni mbaya zaidi! Una siku chache za kuishi.
 
Pole kwa hilo tatizo mkuu. Nitakusaidia uache hiyo kitu, ni rahisi sana kuacha brother. Kuna vitu vichache sana nikikuelekeza na ukifanyia kazi utaacha kabisa.

Wengi wanapata taabu kwenye hiyo issue kwa ajiri ya kuwa na oicha kamili ya identity yao... Pole sana brother.

Uje PM kama upo serious
Uje PM kama upo serious kuacha.
Mkuu wahanga wapo wengi ni vema ungeweka wazi hapa jamvini kwa manufaa ya kambi nzima ya CHAPUTA
 
hapo umebakiza kujiingiza kwenye ushoga tu

Huu ni ukweli, ukija pia trace mashoga wengi ( wanaume wano ingiliwa kinyume na maumbile ) walikuwa addicted sana na porn.. mwisho wa siku wakaanza angalia porn za shemale then tha ma guy na hapo ndipo walipo anza kuwashwa washwaa... na kujikita wanafungua mlango wa kuanza huo mchezo mchafu.
 
Mwanamke ninaye sasa kinachotokea ni kuwa kuna siku naweza kufanya naye mapenzi nikaenda hata dk 30 bila kukojoa kabisa na yy akawa amekojoa mara kadhaa mm mkavu kabisa, siku nyingine hata dk 2 haziishi nakojoa faster. Baada ya hapo hata kesho yake mawazo ya porn na punyeto yanarudi tena
Ukiwa nae kila muda unapopata mawazo ya porn haisaidii??
 
Hakuna dawa ya kuacha kupiga punyeto labda upate ajali ya sehemu za siri!

Bila kupata majeraha ya ile sehemu labda tu udhamirie.

Oa mke umpendae utaanza kuacha kidogokidogo
 
Huu ni ukweli, ukija pia trace mashoga wengi ( wanaume wano ingiliwa kinyume na maumbile ) walikuwa addicted sana na porn.. mwisho wa siku wakaanza angalia porn za shemale then tha ma guy na hapo ndipo walipo anza kuwashwa washwaa... na kujikita wanafungua mlango wa kuanza huo mchezo mchafu.
Ingawa najisikia aibu na vibaya ku-admit hili, lakini hii linanikuta siku za nyuma nilikuwa nasikia kichefu chefu kuangalia gay porn, au anal sex lakini taratibu nikiaanza kuvutiwa na shemale na sasa gay porn ingawa siwi comfortable ninapoziangalia kama jinsi navyokuwa napokuwa nikiangalia porn nyingine, lkn najua kila kitu kina mwanzo na hapa ndipo nilipopata hofu kuwa napoeleka siko its time for a u-turn in a correct way.
 
Funga,sali mlilie Mungu wako akutoe katika hili janga maana litakupeleka shimoni.Kuna hatari kubwa hata ya kujikaribishia majini mahaba pasipo kujua.Na majini mahaba yanapomuingia mtu kumtoka si kazi rahisi aisee.Alafu kingine upende kufanya mazoezi yatakuweka busy na kukufanya usifikirie kujichua kila mara.
 
Ukiwa nae kila muda unapopata mawazo ya porn haisaidii??
Yaani mkuu kwa hali na mazingira niyaonavyo porn&mustarbation imekuwa kama mwanamke wa kwanza halafu huyu niliyenaye wa pili, this is how bad it is ndugu yangu, ila naamini kwa ushauri na miongozo ambayo nimeendelea kupata hapa this is going to change.
 
Back
Top Bottom