Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Unasema umeombewa ila tatizo halijaisha basi habari njema inakufikia siku ya leo, wiki iliyopita nikiwa natembea nyikani nikasikia sauti ikisema, "Jipu tazama mbele yako kuna nini?" Nikajibu fimbo, sauti ikasema, "iokote fimbo iyo, nawe utaenda nayo popote ukihubiri neno langu, na kwa fimbo hii wote utakao wachapa viboko kwa fimbo hii watapata wokovu."
Leo ni siku ya sita watu wanapata wokovu, nimechapa viboko vya upako wezi, majambazi, walevi, wazinzi, wagonjwa na wote wamepata uponyaji. Nakusihi njoo na wewe nikutandike viboko vitano vya upako tatizo lako litaisha.
 
Pole kwa hilo tatizo mkuu. Nitakusaidia uache hiyo kitu, ni rahisi sana kuacha brother. Kuna vitu vichache sana nikikuelekeza na ukifanyia kazi utaacha kabisa.

Wengi wanapata taabu kwenye hiyo issue kwa ajiri ya kuwa na oicha kamili ya identity yao... Pole sana brother.

Uje PM kama upo serious
Uje PM kama upo serious kuacha.
Shukrani mkuu nitakucheck
 
Mbona punyeto ni jambo dogo na la kawaida sana kwa mwanaume?

Binafsi nilianza kupiga nyeto nikiwa la sita/saba. Nimeendelea hivo mpaka nilipomaliza form 6 ndio nikakutana na mwanamke kwa mara ya kwanza.

Mpaka sasa mpenzi wangu nikikaaga naye mbali ashki ikizigi naingia beeg.com napunguza maruhani kidogo. Kwa libido niliyonayo nisipofanya ivo naweza baka ama nikanunua malaya huko njiani kitu ambacho ni hatari zaidi ya nyeto.

Upande wa madhara yapo ila inategemeana mtu na mtu. Physically sijapata madhara yoyote ila psychologically nilipata tabu sana mwanzoni hasa kwenye kutongoza. Pia mwanzo ilisababisha nikose kujiamini mbele za watu kabisa ila as time goes iyo hali iliisha baada ya kukutana na mwanamke na kukuta nina urijali wa kutosha kunako 6x6.

Ubaya wa nyeto ni kwamba ina addiction hasa kwa wale wasioweza kujicontrol. Pia ukiwa mpiga nyeto then uwe goi goi kitandani itakuathiri kisaikolojia mnoo kwa kudhani nyeto ndio kisababishi kumbe huenda hilo tatizo umezaliwa nalo.

ILA PUNYETO HAINA MADHARA KAMA WENGI WANAVYOAMINISHWA ENDAPO UNAFANYA KWA AFYA.

Cc Mabaharia wote.

Cc Unforgetable
 
Dirisha la Jirani, Kwenye story yako yote sijaona sehemu ya mahusiano... je una demu au mke??
Kama unae je hata ukitoka kula mgegedo bado unawaza porn na punyeto??
 
Faida za punyeto
1. Unajichagulia size yako, small, medium au large
2. Huwezi pata magonjwa ya zinaa
3. Hakuna wa kukulaumu kuwa umewahi au umechelewa kujilipua
4. Ni tamu sana na inasisimua mwili

Hasara za punyeto
1. Inadumaza akili, unazidi kuwa domo zege
2. Unakosa hisia za kweli kwa wanawake au wanaume
3. Unachosha misuli ya uume au uke na kukufanya kutofurahia tendo halisi
4. Ni dhambi, ukishamaliza tu unajiona fala kweli

Clear browser history ya simu au computer, futa video za ngono ulizodownload, anza kutembelea youtube na utazame documentaries mbalimbali mfano, locked in abroad, fbi files, the king of random, agt, bbc documentary, true story, bounty hunter d n.k
 
Kingsmann, ]Usemacho ni kweli mkuu lakini kwa hiki ambacho kinaendelea kwangu naona kina sifa zote za kuitwa addiction, kama ingekuwa labda ktika miezi 6 napiga kama mara mbili au tatu isingekuwa shida.
 
Kwenye story yako yote sijaona sehemu ya mahusiano... je una demu au mke??
Kama unae je hata ukitoka kula mgegedo bado unawaza porn na punyeto??
Mwanamke ninaye sasa kinachotokea ni kuwa kuna siku naweza kufanya naye mapenzi nikaenda hata dk 30 bila kukojoa kabisa na yy akawa amekojoa mara kadhaa mm mkavu kabisa, siku nyingine hata dk 2 haziishi nakojoa faster. Baada ya hapo hata kesho yake mawazo ya porn na punyeto yanarudi tena
 
Mkuu unataka kuacha kuona maufundi ya kina Cherokee - DAss, Pinky x, Mz Booty, Naomi Russel, Alycia Star, Nyomi banxxx, Mia Khalifa, Water mellon, etc etc?!!!!!!

Hahahaha..........

Ila believe me penye nia pana njia mkuu. Amua na weka msimamo.

Hamu inapokujia, weka sites za Praise and Worship au hata mahubiri ya Watumishi wa Mungu, zipo nyingi sana tu

Kama ni Muislam, kadhalika zipo sites zenye mawaidha na kaswida.

Kiufupi, tumia hiyohiyo smartphone kukutoa toka uwanja wa "fisi" ikupeleke uwanja wa "sifa."
 
Porn na mastrbation ni samaki na maji.Kuvitenganisha ni ngumu.Hatua ya kwanza kwa mantik hii ni kuacha kuangalia porn.
Hii ni kazi ngumu lakin weka nia ya kuacha kwanza kuangalia porn videos kabisaaaaaa.wkat huu unaweza ukajikuta unaendelea kupiga nyeto lakin rate haitakua kama ile trust me.Na hii ni kwasababu mind yako tayar ina hazina ya kutosha ya kumbukumbu za porn vids ulizoangalia before ambazo huondoka taratibu sana.Hivyo kuacha kuangalia porn unakua kama umeacha ku update mind yako kuhusu habar hiz.Ndio maana kuacha kuangalia porn ni kitu cha kwanza muhimu sana ingawa ni kazi sana.Hii inahusisha pia kuacha kusoma soma sana makala za mapenz.Jukwaa kama MMU inabid ukikimbie kwa muda maana ukikutana na nyuz za akina Zero IQ hazitakuacha salama katika kioind cha ku recover.

Nb:bado hamu ya kupiga nyeto itakuepo na unaweza ukawa unashtua ila rate huwa inashuka kias maana kwa memory ile ile utajikuta unakosa mshawasha wa kujilipua tofaut na ukiendelea kuangalia mpya.

Badil mfumo wa namna unavyowatazama wanawake.Waone katika mtazamo hakis kabisaa kama awal kuwa hawa ni mama zetu dada zet mabint zet na wake/gfrnds zetu wala sio vifaa vya ngono.Sitawisha hii fikra maana moja ya upumbavu wa porn& nyeto huabdil kabisa namna mwnaume anavyomchukulia mwanamke kifikra ndio maana kila ukiona picha au mtu nusu uchi kinacho kujia akilin ni kutoshelezwa haja zako za tamaa ya kingono.

Hii process ni ndefu sana.BAada ya hapo utajikuta unabadilika kabisaa.Unaweza usiwe mpnz wa kusoma vitabu ila jaribu ku feed taarifa mbadala kwenye akil yako.Mijadala ya milengo tofaut inaweza kukusaidia .

Nachokuambia hiki sio stori bali ni kitu kimenisaidia mwenyewe binafsi.Nilikua napiga punyeto hata baada ya kuoa.Ni mbaya sanaa.Inakufanya kwel kuhis guilty hasa kwakua nje watu wanakuona mtu wa tofauti na vile ulivyo kiuhalisia.
Ikafika hatua nafanya huo mchezo kwa mwezi mara 1 na kwasasa aisee nimeshasahau kwakwel.
INAWEZEKANA
 
Back
Top Bottom