Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BarikiwaAsante sana kwa ushauri huu na sala hii na pamoja na mambo mengine sitaacha kusali kama ulivyonishauri naamini Kristo ataniweka huru na siku moja nitarudi hapa kushuhudia uhuru huo. Asante sana Mkuu.
Mkuu sio unasali dk 5 umemaliza, ikiwezekana funga kabisaMkuu, hili ni ombi langu kwa Mungu kila siku anibadilishe, ndio najitafuta nakosea wapi mbona sipati matokeo.
Nausikilizaga wimbo wa Goodluck Gozbert ule ujumbe unanihusu kwa asilimia kubwa sana.
Kama vipi uza smartphone kama huna matumizi ya muhimu sana, na kama unakitu cha muhimu na simu yako kinachohitaji mtandao, nenda Internet cafe mbona zamani mtu Huna smartphone na maisha yalikuwa yanaenda na kazi zinaenda?
Ukinipatia huo mwongozo nitashukuru sana sana.Mkuu sio unasali dk 5 umemaliza, ikiwezekana funga kabisa
Ukifunga na kusali huwezi waza hizo vitu jaribu kwa one week lazima matokeo uone pale unapokaa na njaa unautiisha mwili
Ukihitaji mwongozo wa maombi nitakupatia
Mkuu wahanga wapo wengi ni vema ungeweka wazi hapa jamvini kwa manufaa ya kambi nzima ya CHAPUTAPole kwa hilo tatizo mkuu. Nitakusaidia uache hiyo kitu, ni rahisi sana kuacha brother. Kuna vitu vichache sana nikikuelekeza na ukifanyia kazi utaacha kabisa.
Wengi wanapata taabu kwenye hiyo issue kwa ajiri ya kuwa na oicha kamili ya identity yao... Pole sana brother.
Uje PM kama upo serious
Uje PM kama upo serious kuacha.
hapo umebakiza kujiingiza kwenye ushoga tu
Mkuu wahanga wapo wengi ni vema ungeweka wazi hapa jamvini kwa manufaa ya kambi nzima ya CHAPUTA
Ukinipatia huo mwongozo nitashukuru sana sana.
Ukiwa nae kila muda unapopata mawazo ya porn haisaidii??Mwanamke ninaye sasa kinachotokea ni kuwa kuna siku naweza kufanya naye mapenzi nikaenda hata dk 30 bila kukojoa kabisa na yy akawa amekojoa mara kadhaa mm mkavu kabisa, siku nyingine hata dk 2 haziishi nakojoa faster. Baada ya hapo hata kesho yake mawazo ya porn na punyeto yanarudi tena
Mkuu unazungumzia uwezo upi?Nyeto mnaisingizia tu. Mjomba we uwezo mdogo.
Mkuu ili mradi bado nina pumzi/uhai basi naamini ni fursa ya mimi kubadilika na kubadilisha haya nayoona kwangu ni tatizo.Pole sana kijana, naona tunaelekea kukupoteza, kwa hatua uliyofikia ni mbaya zaidi! Una siku chache za kuishi.
Ingawa najisikia aibu na vibaya ku-admit hili, lakini hii linanikuta siku za nyuma nilikuwa nasikia kichefu chefu kuangalia gay porn, au anal sex lakini taratibu nikiaanza kuvutiwa na shemale na sasa gay porn ingawa siwi comfortable ninapoziangalia kama jinsi navyokuwa napokuwa nikiangalia porn nyingine, lkn najua kila kitu kina mwanzo na hapa ndipo nilipopata hofu kuwa napoeleka siko its time for a u-turn in a correct way.Huu ni ukweli, ukija pia trace mashoga wengi ( wanaume wano ingiliwa kinyume na maumbile ) walikuwa addicted sana na porn.. mwisho wa siku wakaanza angalia porn za shemale then tha ma guy na hapo ndipo walipo anza kuwashwa washwaa... na kujikita wanafungua mlango wa kuanza huo mchezo mchafu.
Yaani mkuu kwa hali na mazingira niyaonavyo porn&mustarbation imekuwa kama mwanamke wa kwanza halafu huyu niliyenaye wa pili, this is how bad it is ndugu yangu, ila naamini kwa ushauri na miongozo ambayo nimeendelea kupata hapa this is going to change.Ukiwa nae kila muda unapopata mawazo ya porn haisaidii??
Iweke hapa mkuu wahanga tupo wengiDawa hipo kama upo serious nitafute unaacha ndani ya siku tatu