Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

Dirisha la Jirani,
Kwanza nikupe pole sana kwa tatizo hilo.
1. Ni tatizo la kisaikolojia linatakiwa kutatuliwa kisaikolojia.
2. Kufanya punyeto ni aina ya wengi au kichaa kinachompa ya mtu kwa nguvu ya emotional. Kwanini ni kichaa mfano mkubwa ni huu kama ilivyorahisi mtu kujitekenya mwenyewe akacheka. Kama atacheka ni kichaa ndiyo ilivyo kwa mpiga punyeto ambaye huwa na Mwanamke mbele yake aliyekuwepo kiuhalisia na akaweza kufika kileleni, hicho ni kichaa. Ili kuthibitisha hili CCTV inaweza kukufanya ukaamua kuacha kabisa mambo hayo. Maana yangu ni kuwa kama mtu akikutekodi kisirisiri na kesho yake akakupatia picha yako ukajiangalia ilivyokuwa unafanya kamwe hutarejea kufanya tena kwani utauona wehu wako LIVE.
 
Hao unaowatumia elfu tano, hujawahi kuwaomba kukutana nao kuliko kutuma picha?
Miongoni mwa hao ambao huwa nawatumia nimeshakutana na watatu tu. Kitu kikubwa ambacho huwa kinanisukuma hata kuwasiliana nao ni ile kiu tu ya kutaka kufanya mustarbation kwa kuangalia hizo picha au video zao, baada tu ya kumaliza (ejaculate) hamu yote huisha hata ya kuwasiliana nao tena na ndipo akili hukaa sawa na kuanza kujiuliza maswali mengi, mfano "sasa ndio nimefanya nini?" nk.
 
Hali ya kupiga punyeto ni mbaya sana, ni utumwa na master wa utumwa huo ni wewe binafsi, Mjue Mungu na soma biblia sana, itakuweka katika msingi sahihi,maana inacho cha kula cha roho, ina ongoza, na ni taa imulikayo gizani na hutia faraja wakati wote, ina maarifa ambayo mwanadamu hana.

Kikubwa mtii Mungu.
 
Pole sana mzee baba hyo ngoma kufika tamati unahitaji juhudi za ziada..

Mm iliwahi ninyanyasa mpaka nikawa naogopa kujitazama kwenye kioo mweshowe niliipiga chini nikiwa 22+yrs mpaka sasa sikumbuki tena jinsi ya kupiga zaid ya kukutana na stori tu.

Hii kitu huwatesa sana wale wanaokaa geto peke yao na kama hautakua na mtu wa kuishi nae basi sahau kuacha! Yaan unaweza kazia kwanzia leo mwisho ila usishangae ukaamka saa nane usiku usingizi umegoma mwili unataka mzigo ndio ukuruhusu kulala[emoji1787][emoji1787]

Dawa ni kua na rafiki wa karibu geto ata ukitaka kupiga mzigo utamuogopa hyo rafiki..au kama umri unaruhusu oa kabisa na hii ndio dawa kuu ya puchi!!
 
Aaagh, jinsi ya kuacha kwa ninavyofahamu ni kutafuta hobby nyingine inayoshabihiana na hiyo, tafuta mtu wa kuhusiana na ye kimapenzi serious, hapo utaacha, vinginevyo itakuwa ngumu kuacha
 
Dirisha la Jirani,
Pole sana, utaacha tu sababu unania ila lini ndio haijulikani. Haka kamtego ni balaa mi pia kalinisumbuaga sana ikawa kila new yeat naweka resolution ya kuacha ila kesho yake tu narudia. Nlipofika form three nikajikuta tu nimeacha maana nilianzaga std 7 baada ya kuangaliaga jarida la ngono
 
Kirahisi hivyo mkuu?

Huyu jamaa katoa ya moyoni na inavyoonekana siyo story ya kutunga anahitaji tiba sahihi kuhusu jambo hili linamtesa
Kwani nimebisha mkuu!!? Hata sijabisha nimetoa tu neno langu ni yeye kuamua kulifanyia kazi au kuliacha.
 
Niliwahi soma mahali ama kusikia kuwa jitahidi sana kufanya mazoezi kujikeep busy sana na vitu vingine na kubwa zaidi epuka kukaa peke yako. Ukijiona uko peke yako na hisia zinakuja kajichanganye tu. Kama uko peke yako home mpaka usiku tafuta mtu wa kukaa nae. Yaweza kusaidia.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimecheka sana lol!

hahaha siku moja nikiwa advance usiku nilibanwa sana na genye nikapiga ponyeto usiku huo, nilivomaliza tu tumbo likaanza kuniuma balaa baada ya masaa kadhaa nikaanza kuhara usiku ule niliharisha kama mtu mwenye HIV, yaani ilikuwa mharo na mimi, mimi na mharo... hii hali ilienda kama siku2 hivi then ikakataka.... ikawa mwanzo na mwisho kupiga punyeto
ukiamua utaweza kuanza maisha mapya
 
Hakunaga mbadala zaidi ya kuwa na demu, hata ufanye sana mazoezi ukiingia kitandani tu unaanza kuingia tamaa ya kupiga.

Ndivyo tulivyoumbwa, kwa mwanaume asie na tatizo kiafya, kiwanda chake kikifikia kiwango Fulani ni lazima utapata nyege.

Haijalishi utapiga zoezi au kazi kiasi gani, punde tu utapopata muda wa kupumzika nyege zinaanza kukutia wehu wa kupunguza kiwanda, hiki kiwanda kinapunguzwa kwa uume kuingizwa ndani ya uke wa mwanamke, hapa uume unaanza kuingizwa ndani na kutoka ili uingie tena ndani, kwa kufanya hivi mara kwa mara uume utamwaga mbegu na hapa tendo litakuwa limekamilika, wengine hutumia njia ya haja kubwa na mdomo kama mbadala wa uke ila ni kitu ambacho hakiruhusiwi na tamaduni na dini nyingi na madhara huwa ni makubwa.

Wasio na mademu au wake huanza kutumia mikono yao kama tundu kuiwekea utelezi wa mafuta au sabuni, hapa mkono unafanya kama tundu na uume unaingizwa, mkono unaanza kupelekwa juu na chini Mara kwa Mara na hatimae hii mikiki hufanya uume kutoa mbegu (kiwanda).

Tafuta msichana mkuu, hata uwe domo zege kiasi gani, ukiweka muda wako mwingi kwa mwanamke moja chaguo lako lazima atakupa sumaku.

TAFUTA DEMU, KAUMBWA KUUHUDUMIA UUME WAKO.
 
Ongeza na kelly divane, Kelly star,ava divane, Carmen Hayes, ambaruty haa haa sio poa
 
Back
Top Bottom