carcinoma
JF-Expert Member
- Mar 5, 2017
- 5,059
- 13,771
Tana nyie watumishi ndio mtakuwa mkaa kabisa...hivi unaanzaje kucheki porn then baadae unaenda mashabahuni kuhubiri.. seriously..... Umesahau sisi viongozi wa dini huwa hatuangalii na ndiyo maana style zetu ni zile zile za kukunjana