Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

Inaweza isifike 2 lakini naweza kukuhakikishia, ukipewa 2 utafute mafundi na ununue vifaa, utashangaa fedha zitakavyoyeyuka.
Hakika na kalamu huwa haishindwi kuandika hesabu za muandikaji !!
 
Wazir mkuu kasema force account....

All in all sheria za manunizi bado chenga sana hakuna fair price kabisa apo ukute mtu ka quotation ya mfuko wa 50k buti 70 tiles 100k ndoo ya rangi 250k lazima ifike uko manunuz yanaua sanaaa aisee
Kama ni Force account walau ingeshuka hiyo gharama changamoto Mhandisi ametoa requirements pamoja na specifications zake then yeye analetewa vifaa vyake bila kujua gharama zilizotumika kununua. Baadaye anafanya overall costing ya mradi anakuta figure inasoma 11M
 
Nadhani waziri mkuu anatakiwa aangalie mfumo. Yaani ilipaswa ujenzi wa aina yeyote toka mwanzo pawe na M&E, risk management etc kiasi kwamba tangu mwanzo zile gharama zilipaswa zikataliwe mapema. Ila kwa sababu mifumo yetu inamapungufu inakuwa kazi sana kwa watendaji kuona value for money kwenye miradi
 
Huyu jamaa huwa anapiga biti halafu anatokomea. Mmesahau eMuesidii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…