Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli alikuwa mnafiki, mbinafsi and the like. Ni kweli watu wangekiona cha moto. Lakini alipoambiwa na professor Assad Kuna 1.5T imeliwa akamtimua. Ni dhahiri magufuli alikuwa anajua zilikoenda na hakutaka watu wajue ukweli.Hakika tumbua tumbua ambayo ingetokea pale Tabora Uyui isingekuwa ya kitoto.
Mungu amlaze Peponi Shujaa Magufuli.
Wewe hujui hesabu!Shujaa tapeli alipiga 1.5 trillion tena mchana kweupe.
Hapo hata itumike hiyo forced account, bado huwezi kujenga hicho kibanda kwa laki 5.We mwana Ccm unajua maana ya forced account?
wapigaji wamerudi.hiyo ndo CCM na ile nyumba ya M100.Hakika tumbua tumbua ambayo ingetokea pale Tabora Uyui isingekuwa ya kitoto.
Mungu amlaze Peponi Shujaa Magufuli.
Magufuli katupiga sana kwenye miradi mingi, lilikuwa jizi piaHakika tumbua tumbua ambayo ingetokea pale Tabora Uyui isingekuwa ya kitoto.
Mungu amlaze Peponi Shujaa Magufuli.
Kumbukeni hizo ni pesa tunazokamuliwa wanyonge kupitia matozo ya hovyo yaliyowekwa na maccm.Huyo aliepiga hizo pesa wamuache sisi kama wananchi tume "mbless", kama pm anataka kukamata wezi wa pesa za serikali basi akawatafute wanao piga mabilioni kwanza ndio aje huku kwenye milioni na laki, wamuache mwanetu ajilie kanyama 😂😂😂
Yule Mwendazake alikuwa akiwafanya nyinyi watanganyika kuwa ni wajinga mno.Hakika tumbua tumbua ambayo ingetokea pale Tabora Uyui isingekuwa ya kitoto.
Mungu amlaze Peponi Shujaa Magufuli.
Acha Upuuzi weweShujaa au comedian? Wapi Trillion 1.5?
Ujinga nikipaji ulicho zaliwa nacho.Shujaa tapeli alipiga 1.5 trillion tena mchana kweupe.
Katiba mpya.Kwan
kwani katiba iliyopo inaruhusu matumizi mabaya ya Mali za umma.
GreedYaani ukisikia kula kwa urefu wa kamba yako ndio huku. Ni kujipakulia tu kama unapakuwq ubwabwa.
View attachment 2350427
Mtoa mada ana hoja,Hicho kibanda kwa muonekano kinazidi laki 5.