Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

Upigaji Uyui: Waziri Mkuu ashangazwa kibanda cha Mlinzi VETA kujengwa kwa Tsh. milioni 11, aagiza waliyosimamia ujenzi kukamatwa

Hakika tumbua tumbua ambayo ingetokea pale Tabora Uyui isingekuwa ya kitoto.

Mungu amlaze Peponi Shujaa Magufuli.
Magufuli alikuwa mnafiki, mbinafsi and the like. Ni kweli watu wangekiona cha moto. Lakini alipoambiwa na professor Assad Kuna 1.5T imeliwa akamtimua. Ni dhahiri magufuli alikuwa anajua zilikoenda na hakutaka watu wajue ukweli.
 
Tangu Ummy Mwalimu enzi akiwa tamisemi akubali daraja la miti lililotengenezwa kwa 30M+, aisee hii nchi taam sana ukianza kuiba ukiwa na wakuu wako wa kazi.
 
Upigaji wa wazi kabisa, sasa hapo ni uyuwi tu.....hatujui yanayo endelea huko Nkasi, Namtumbo, Rombo, Rorya, Kakonko n.k,
jamani viongozi mlio pewa dhamana kuweni wakali kwenye miradi ya serikali...
kuna maelekezo yalitolewa na Mhe. Rais kuwa vyombo vyote lazima vitupie macho miradi ya Serikali kote nchini, je hili limafanyika?
 
Pengine kwa mahaba tuliyo nayo kwake, liwe somo kwamba namna bora zaidi ya kupambana na wizi wa mali ya umma ni mifumo na taasisi zenye nguvu. Kutumbua na vibano mbele ya kamera pengine vilitupa burudani lakini mwaka mmoja tu baadaye tupo tulipo.
 
Huyo aliepiga hizo pesa wamuache sisi kama wananchi tume "mbless", kama pm anataka kukamata wezi wa pesa za serikali basi akawatafute wanao piga mabilioni kwanza ndio aje huku kwenye milioni na laki, wamuache mwanetu ajilie kanyama 😂😂😂
 
Kumbukeni hizo ni pesa tunazokamuliwa wanyonge kupitia matozo ya hovyo yaliyowekwa na maccm.
 
Hakika tumbua tumbua ambayo ingetokea pale Tabora Uyui isingekuwa ya kitoto.

Mungu amlaze Peponi Shujaa Magufuli.
Yule Mwendazake alikuwa akiwafanya nyinyi watanganyika kuwa ni wajinga mno.

Hivi hiyo milioni 11 iliyopigwa Katika kile kibanda, ukilinganisha na trillion 1.5 iliyochotwa toka hazina, ni zipi nyingi!🥺
 
Umewahi kujiuliza kwa nini mtu akaajiriwa masikini baada ya muda tu anageuka trilionea?
 
Million 11 sio sahii,
Ila hapo kwenye laki 5 Ni uongo,
Otherwise mtoa mada hujawai kujenga
 
Back
Top Bottom