Mama hajawahi kuwa serousFomu huwa zinanishangaza sana hizi.
Afu pia Mama si alisema wakazitizame hizi fomu maana hazina tija.!?
KabisaMama hajawahi kuwa serous
Na muda, na wino.OPRAS ni matumizi mabaya ya karatasi
Nina miaka mi4 sijajaza hayo makitu na sijaona impact yake🤣hayana tijaNaomba kuwauliza watumishi, kwa mfano ukipata alama za chini kwenye hiyo OPRAS unaadhibiwa ?🐒
Yaani nimebishana sana na Katibu na Afisa utumishi baada ya kuniambia kuwa nisipo jaza hizo OPRAS nisahau kupanda daraja na mshahara .Nina miaka 3 sijaza kwasababu nilikuwa shule sasa wanasema nijaze .Nimecopy na kupaste niwapelekee hata kilichomo sijasomaInashangaza kuona baadhi ya maeneo bado wanatumia opras kama rejea ya utendaji kazi wa watumishi. Ikumbukwe kwamba fomu hizi hujazwa na mtumishi kwa kushirikiana na kiingozi wake.
Kwa asilimia kubwa, hakuna uhalisia katika upimaji kwa kutumia hizi fomu
Toa kimbwa hicho kwanzaNaomba kuwauliza watumishi, kwa mfano ukipata alama za chini kwenye hiyo OPRAS unaadhibiwa ?🐒
Takataka haswaInfact zile ni takataka,
Inasemekana Utakapotaka kupata uhalali wakupanda ngazi ndipo utamjua OPRAS ni nani!Nina miaka mi4 sijajaza hayo makitu na sijaona impact yake🤣hayana tija
Waliniweka miaka mi5 bila kupanda cheo,wamenipandisha 2019,natakiwa kupanda Tena mwaka wa fedha ujao,ukifika muda ndo nitajaza kwa kucopy na kupaste🤣wastage of time,tunafanya Bora liende, mishahara wenyewe wa vibaba kwann mtu ujichoshe?🤔Inasemekana Utakapotaka kupata uhalali wakupanda ngazi ndipo utamjua OPRAS ni nani!
Watumishi mliopata ajira bila kutoka Jasho (BILA INTERVIEW) kwa maaana ya WALIMU NA MADAKTARI wengi wenu vichwa vyenu mnavijua wenyewe. Ndio maaana productivity yenu ni zero zero maaana hamthamini wala hamna uchungu na kazi maaana mmeiokota tu. Always Easy come haitiliwi uchungu ni sawa na pesa uiokote au upate ya Urithi.Yaani nimebishana sana na Katibu na Afisa utumishi baada ya kuniambia kuwa nisipo jaza hizo OPRAS nisahau kupanda daraja na mshahara .Nina miaka 3 sijaza kwasababu nilikuwa shule sasa wanasema nijaze .Nimecopy na kupaste niwapelekee hata kilichomo sijasoma
Akili huna.Watumishi mliopata ajira bila kutoka Jasho (BILA INTERVIEW) kwa maaana ya WALIMU NA MADAKTARI wengi wenu vichwa vyenu mnavijua wenyewe. Ndio maaana productivity yenu ni zero zero maaana hamthamini wala hamna uchungu na kazi maaana mmeiokota tu. Always Easy come haitiliwi uchungu ni sawa na pesa uiokote au upate ya Urithi.
Watanzania Tulipewa UHURU WA MEZANI do you see tunavyochekea UFISADI??
Nenda kule walipigana vita wakapata Uhuru wao Eg. Hapo KENYA rafiki they fight you hata ukipandisha UNGA!
OPRAS is mandatory na hivyo ukiona Mtumishi anaipinga hajitambui na huo utumishi wake ni wa kutiliwa mashaka. Over
Hapo sasa🙏Akili huna.
Huko kwenye productivity mmazalisha Nini?
Mbona kila siku HASARA