MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Mkuu kama watu wangekuwa waelewa thread hii ilibidi comment Yako ifunge mjadala huu. Ipo wazi kbsa unajaza nitafanya Mambo kadhaa ila mahitaji yangu ni pikipiki, mafuta, stationary, allowance alafu vyote hivyo hupewi Sasa walitakaje opras iwe na tija
- Yaani huna Usafiri
- Huna Mafuta
- Huna stationery
- Huna bando
- Huna allowance
Yaani wao wanaamini MALENGO yanafikiwa kwa VITISHO tu😂