Mkuu kama watu wangekuwa waelewa thread hii ilibidi comment Yako ifunge mjadala huu. Ipo wazi kbsa unajaza nitafanya Mambo kadhaa ila mahitaji yangu ni pikipiki, mafuta, stationary, allowance alafu vyote hivyo hupewi Sasa walitakaje opras iwe na tija
ha ha ha nilicho andika najua mwenyewe hata wao hawewezi kusoma .Ahaa!
Ingawaje hakuna uhalisia wa kilichojazwa na utendaji halisi wa mtumishi. Wengi wanacopy na kupaste
Nimeona hiyo fomu unajaza na bosi nikajua kuna kubanianaUnapateje alana ya chini kwa mfano?
HaweziNimeona hiyo fomu unajaza na bosi nikajua kuna kubaniana
Miaka minne mbona itakuwa Haina uhalisia wa mamboUliona au kusikia hii taarifa wapi na lini? Huku tunateseka tu.Hapa naambiwa niandae OPRAS za miaka 4 .
Kazi nyingine ni za kujitolea na sadaka aisee mgonjwa wa emergence na usiku utaacha kumuokoa kisa ulishahudumia watu sita mchana, inabidi tuhurumiane raia na tungeandamana kuwanyoosha wanasiasa wanaokula Kodi zetu kuliko kuacha maskini afeWewe ni mpumbavu.
Suala la matibabu mazuri halina mahusiano na serikali Wala sekta binafsi.
Na Wala hapa sizungumzii kutibiwa vibaya.
Nazungumzia ukubwa wa kazi.
Kama Daktari ana uwezo wa KUHUDUMIA wagonjwa 6 kwa masaa 8. Inatosha.
Siyo Kwasababu Yuko pekeyake, ulazimishe hata usiku wa manane amelala amepumzika baada ya kufanya kazi kutwa nzima, aamke kukuhudumia kwa viwango VILE VILE.
Kama unategemea mtu afanye hivyo Kwasababu tu anafanya kazi serikalini, wewe ni ZUZU
Na hapo ndipo linapokuja suala la wito.Kazi nyingine ni za kujitolea na sadaka aisee mgonjwa wa emergence na usiku utaacha kumuokoa kisa ulishahudumia watu sita mchana, inabidi tuhurumiane raia na tungeandamana kuwanyoosha wanasiasa wanaokula Kodi zetu kuliko kuacha maskini afe
OPRAS ilianzishwa ikiwa sehemu ya maboresho ya utumishi Serikalini baada ya kuachia uchumi uendeshwe na sekta binafsi ili huduma ya serikali kwa raia na sekta binafsi iwe na malengo pia ufanisi unaoendana na uchumi wa soko, siyo uchumi hodhi. Wakati huo ilibidi watumishi waajiriwe kwa kutegemea ubora wao ulioshindanishwa baada ya kupitia usaili ambao ulikuwa na miiko na viwango. Mishahara ilipanda mwanzoni mwa OPRAS. Serikali, wizara, idara ilibidi ziwe na malengo ya mwaka na watumishi wapimwe kwa utararibu wa OPRAS ambao unaendana na mapatano ya uwajibikaji kwa mujibu wa malengo ambayo mmekubaliana na boss wako na yeye pia akiwa na malengo yake. Kupandishwa ngazi kulitegenea ufanisi wa utendaji wa mhusika kwa utararibu huo. Lakini kama ilivyo kwa mambo mengi mazuri hapa Tanzania, tunaanza kwa kasi na viwango halafu pole pole tunarudi kule kule tulikotoka! Mpango huu ulianza kuachwa kutekelezwa kwa dhari baada ya awamu ya tatu ya Mzee Mkapa (RIP). Mambo yote yameachwa isipokuwa jina la OPRAS bila mazingira halisi yanayofanya utarabu huo ufanye kazi ipasavyo. Maboresho yenyewe yalishaachwa!Inashangaza kuona baadhi ya maeneo bado wanatumia opras kama rejea ya utendaji kazi wa watumishi. Ikumbukwe kwamba fomu hizi hujazwa na mtumishi kwa kushirikiana na kiingozi wake.
Kwa asilimia kubwa, hakuna uhalisia katika upimaji kwa kutumia hizi fomu